The UK Army is considered a strong military force, with a reputation for high quality training and advanced equipment, although its overall size is smaller compared to other major powers like the US and Russia; according to recent rankings, it is often placed around the 6th position in terms of military strength worldwide....Kwa jeshi gani alilo nalo U.K?
Kabla ya kudharau jeshi la UK fanya utafiti hata mdogo kwanza.Kwa jeshi gani alilo nalo U.K?
Hao wakisaidia ndani ya miezi miwili tu nchi zao yataanza maandamano ya maisha magumu na uchaguzi wa ghafla utaitishwa mtu anatolewa kwenye uongozi......Ulaya wapo kwenye mtego mbaya sana......Ujerumani kasaidia sahv wana chancellor mpyaSaid it. Trump akishindwa kumsaidia wengine watamsaidia bila kumdhalilisha.
Trump ni 🗑️.
Ni ya 6 dunianiKwa jeshi gani alilo nalo U.K?
maneno kama haya ndio mliokuwa mnayatumia kutudanganya pia kuhusu israel,The UK Army is considered a strong military force, with a reputation for high quality training and advanced equipment, although its overall size is smaller compared to other major powers like the US and Russia; according to recent rankings, it is often placed around the 6th position in terms of military strength worldwide....
Wamefika hapo walipo (kupigana na Russia) kwa msaada wa Marekani je wakienda wenyewe wataweza?Wakuu,
Baada ya Trump kuonekana kuanza kuringaringa na kumnyanyasa Ukraine, Uingereza imeamua kuuvaa wenyewe huu ugomvi.
Akiwa anaongea hivi karibuni, Starmer amesema kuwa ukiachana na Euro Bilioni 2, Uingereza pia iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine kupambana na Urusi na pia iko tayari kupeleka ndege zake za kivita
========================================
Starmer inabidi ajitafakari sana.
Yaani Marekani ikiamua, hata yeye anaweza kuondolewa madarakani vilevile.
Mzee ajitafakari sana huyu
Dada lala. Hamna vita ya tatu ya dunia kwa mitutu.Mh! Hii kweli ni vita ya 3ya dunia
UK hakurupuki, Kwanza UK ametoa msaada mkubwa zaidi ya marekani na bado anonyesha msimamo wake wa kuisaidia Ukraine bila Kona Kona za kitapeli.Hao wakisaidia ndani ya miezi miwili tu nchi zao yataanza maandamano ya maisha magumu na uchaguzi wa ghafla utaitishwa mtu anatolewa kwenye uongozi......Ulaya wapo kwenye mtego mbaya sana......Ujerumani kasaidia sahv wana chancellor mpya
Trump ni Putin Agent,Ni jambo jema..
UK hawapo pekee kwa msimamo huo, kuna France, Germany, Italy, Poland, nk.
Trump amepuyanga pakubwa kwa hili.
Anajaribu kulipa fadhila binafsi kwa Warusi..
Kwa mara ya kwanza katika historia, Viongozi wakuu wa Ulaya, Canada na Australia wakutana kujadili namna ya kuisaidia Ukraine bila kumwalika Marekani
Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani. Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake. Viongozi waliohudhuria ni...www.jamiiforums.com