Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Maneno mengi ya nini kama unauweza pima.
Ajaribu kuwapeleka uwanja wa vita aone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno mengi ya nini kama unauweza pima.
Hapa UK walikuwa wanalijadili sana hili kuhusu UrusiUmesema vyema
70k ?!!!Wanajeshi active wa U.K hawajazi hata Old Trafford wapo kama 70k. Apeleke jeshi aone kama atabakia hata na jeshi la kulinda mipaka yao
Russia alitoa tahadhari na malalamiko mara kadhaa kabla ya kuvamia Ukraine.Kwa hiyo wangekaaa tu wasifanye lolote? Nyumba yako inavamiwa umekaa tu unamuambia jirani abebe kila kitu?
Huko majuu wangekuwa wanawaza hivyo wasingekuwa hapo walipofika
70k ?!!!
Uongo, propaganda..
UK wana wanajeshi 11 million+.
Hata wakipeleka Ukraine 1m watabakiwa na 10m
Siyo jeshi tu, hata hela za mchezo za kumpa comedian hawana!! Nchi za Ulaya zona changamoto kubwa mno kiuchumiKwa jeshi gani alilo nalo U.K?
Kati ya wewe na Mhimili uliojichimbia mwenye IQ ndogo ni wewe Dkisaka kwa kuwa hiyo €132 ya European countries ni mchango wa nchi zaidi ya 20. Hakuna nchi ambayo pekee imetoa zaidi ya €16. USA kutoa €114 siyo kitoto!! Nchi za Ulaya zina changamoto zao nyingi tuTatizo Una low IQ . Jitathmini .
Which countries have given the most to Ukraine?
European countries have provided €132 billion in aid (military, financial and humanitarian) as of December 2024, and the United States has provided €114 billion. Most of the US funding supports American industries who produce weapons and military equipment.
Nilikuwa nasikikiza DW jioni hii.... Ukraine amesalenda kwa USA... Anataka warudi kuzungumza na Trump baada ya yeye kutangaza kusitisha misaada ya kijeshi huko Ukraine...Kati ya wewe na Mhimili uliojichimbia mwenye IQ ndogo ni wewe Dkisaka kwa kuwa hiyo €132 ya European countries ni mchango wa nchi zaidi ya 20. Hakuna nchi ambayo pekee imetoa zaidi ya €16. USA kutoa €114 siyo kitoto!! Nchi za Ulaya zina changamoto zao nyingi tu
View attachment 3258567
Angefanya utafiti unadhani angekuja kuropoka hapa...!Kabla ya kudharau jeshi la UK fanya utafiti hata mdogo kwanza.
Yule comedian mpuuzi sana. Kaiingiza nchi kwenye vita visivyo na maanaNilikuwa nasikikiza DW jioni hii.... Ukraine amesalenda kwa USA... Anataka warudi kuzungumza na Trump baada ya yeye kutangaza kusitisha misaada ya kijeshi huko Ukraine...
😄Trump kaamua kuchomoa betri...
Karudi tena US sijui EU alikutana na nini.Wakuu,
Baada ya Trump kuonekana kuanza kuringaringa na kumnyanyasa Ukraine, Uingereza imeamua kuuvaa wenyewe huu ugomvi.
Akiwa anaongea hivi karibuni, Starmer amesema kuwa ukiachana na Euro Bilioni 2, Uingereza pia iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine kupambana na Urusi na pia iko tayari kupeleka ndege zake za kivita
========================================
Starmer inabidi ajitafakari sana.
Yaani Marekani ikiamua, hata yeye anaweza kuondolewa madarakani vilevile.
Mzee ajitafakari sana huyu
mwingereza huyu tunayemjua wakina man united au?Wakuu,
Baada ya Trump kuonekana kuanza kuringaringa na kumnyanyasa Ukraine, Uingereza imeamua kuuvaa wenyewe huu ugomvi.
Akiwa anaongea hivi karibuni, Starmer amesema kuwa ukiachana na Euro Bilioni 2, Uingereza pia iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine kupambana na Urusi na pia iko tayari kupeleka ndege zake za kivita
========================================
Starmer inabidi ajitafakari sana.
Yaani Marekani ikiamua, hata yeye anaweza kuondolewa madarakani vilevile.
Mzee ajitafakari sana huyu
Yaani.... Taabu kwelikweli... Na alikuwa akitegemea msaada kutoka huko USA.... EU naona kama msuli wao nao ulikuwa unaegemea USA....Yule comedian mpuuzi sana. Kaiingiza nchi kwenye vita visivyo na maana