Baada ya Trump kumdhalilisha Zelensky, Waziri Mkuu wa Uingereza atangaza kuwa UK iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine

Umesema vyema
Hapa UK walikuwa wanalijadili sana hili kuhusu Urusi
Waingeraza wajanja ma wanafiki pia

Waliwakaribisha Oligarchs wakawekeza sana hapa
UK walipoona hela nyingi sana za billionaires zinaingia wakaamua kuwapa Passport za UK tena FastTrack

Sasa wanasema kuna hela nyingi ziliingia lakini zilitakatishwa kwa hiyo zizuiwe
Russian wamewekeza sana UK na wamenunua mijengo na makampuni mengi

Sasa vita ni Uchumi tu na wanasema Crimea waisahau hairudi tena
 
Wanajeshi active wa U.K hawajazi hata Old Trafford wapo kama 70k. Apeleke jeshi aone kama atabakia hata na jeshi la kulinda mipaka yao
70k ?!!!
Uongo, propaganda..
UK wana wanajeshi 11 million+.
Hata wakipeleka Ukraine 1m watabakiwa na 10m
 
Kwa hiyo wangekaaa tu wasifanye lolote? Nyumba yako inavamiwa umekaa tu unamuambia jirani abebe kila kitu?

Huko majuu wangekuwa wanawaza hivyo wasingekuwa hapo walipofika
Russia alitoa tahadhari na malalamiko mara kadhaa kabla ya kuvamia Ukraine.
Alikumbusha Ukraine atekeleze makubaliano ya Minsk ya mwaka 2014.
Yafuatilie uyajue. Mwishoni mwa 2021 alitoa tahadhari atalazimika kuivamia Ukraine wasipo sitisha kuwauwa raia wa Ukraine wenye asili ya Russia. Wasipositisha mipango ya kujiunga NATO.

Kumbuka Crimea ilikuwa eneo la Russia, raisi wa USSR mwenye asili ya Ukraine akawapatia Ukraine.

Mfano Mh.Samia raisi Jamhuri ya Muungano wa TZ mwenye asili ya Zanzibar awape Zanzibar kisiwa Cha Mafia ambacho kiasili mali ya Tanganyika.
Muungano ukifa wazanzibar wawateseke na kuwauwa watu wa Mafia na kuzuia lugha yao kisa wamedai kurudishwa wajiunge Tanganyika.
 
Kati ya wewe na Mhimili uliojichimbia mwenye IQ ndogo ni wewe Dkisaka kwa kuwa hiyo €132 ya European countries ni mchango wa nchi zaidi ya 20. Hakuna nchi ambayo pekee imetoa zaidi ya €16. USA kutoa €114 siyo kitoto!! Nchi za Ulaya zina changamoto zao nyingi tu

 
Nilikuwa nasikikiza DW jioni hii.... Ukraine amesalenda kwa USA... Anataka warudi kuzungumza na Trump baada ya yeye kutangaza kusitisha misaada ya kijeshi huko Ukraine...

😄Trump kaamua kuchomoa betri...
 
Nilikuwa nasikikiza DW jioni hii.... Ukraine amesalenda kwa USA... Anataka warudi kuzungumza na Trump baada ya yeye kutangaza kusitisha misaada ya kijeshi huko Ukraine...

😄Trump kaamua kuchomoa betri...
Yule comedian mpuuzi sana. Kaiingiza nchi kwenye vita visivyo na maana
 
Karudi tena US sijui EU alikutana na nini.

View: https://m.youtube.com/watch?v=WAIvaZxCKjIHata baadhi ya wabunge wa Ukraine wanataka Trump awe mpatanishi.

View: https://m.youtube.com/watch?v=vff5nfBUjck&pp=ygUTdWtyYWluZSBwYXJsaWFtZW50IA%3D%3D
 
uin
mwingereza huyu tunayemjua wakina man united au?
 
Yule comedian mpuuzi sana. Kaiingiza nchi kwenye vita visivyo na maana
Yaani.... Taabu kwelikweli... Na alikuwa akitegemea msaada kutoka huko USA.... EU naona kama msuli wao nao ulikuwa unaegemea USA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…