Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Safi sana
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja ya waandishi JF ambao naweza soma post yake ikiwa ndefu hata kama gazeti la the guardian kuanzia mwanzo hadi mwisho bila kuacha nukta wala koma.. Asante sana mkuu kwa chambuzi zako zenye akili.Kwa hayo yaliyotokea Jumamosi yameithibitishia dunia kwamba Russia ni nchi kubwa, na hatari sana duniani kwa kila kitu.
Pia Putin, Lukashenko na Prigozhin ni watu hatari sana na ni wale twasema "real gangsters".
Prigozhin amewahi kufungwa jela kama miaka 10 hivi na akatolewa kwa msamaha wa Putin kisha akapanda akaanza vibiashara uchwara vidogovidogo na baadae kuanzisha kampuni ya kutengeneza na kutayarisha vyakula na vinywaji yaani catering business.
Hafla nyingi zilokuwa zikifanyika mjini St Petersburg Prigozhin alikula zabuni zote na kwa msaada wa Putin.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Lukashenko akaeleza jinsi alivyomuokoa Prigozhin kutoka kwa makucha ya Putin na mkurugenzi mkuu wa Shirika la Ujasusi la FSB Alexander Bortikov asimdhuru Prigozhin ambae alikuwa akingojwa aingie Moscow na iwe mwisho wake.
Lukashenko adai kuwa kulikuwa na mazungumzo kati yake yeye, Prigozhin na Bortnikov.
Lukashenko akasema akumbuka kauli ya Putin kwamba nanukuu: "Putin told me: ‘Look, Sasha [affectionate for “Alexander” in Russian], it’s no use. He [Prigozhin] doesn’t even pick up the phone, he doesn’t want to talk to anyone.’”
Hapo juu kwenye neno " Is no use" laashiria kwamba amri ya kumshughulikia Prigozhin ilikuwa imetolewa na Lukashenko akawa amfikiria rafiki yake Prigozhin na akampigia simu kumwambia jinsi vikosi vya Russia vilojipanga mjini Moscow tayari kwa mapigano.
Lukashenko aendelea kusema alipomuomba Putin namba ya Prigozhin, Putin akajibu kuwa hana namba yake (kwa kuogopa wire tapping) akamwambia amtafute Bortnikov anayo.
Raisi Lukashenko akaendela na "story" kwamba waliongea sana na Prigozhin na kujibizana maneno makali ya matusi ya hali ya juu huku Prigozhin akitaka kuonana na raisi Putin kumtaka awaondoe Shoigu na Gerasimov.
Lukashenko akasema alimjibu Prigozhin kwa kusema, “I say, ‘Zhenya [affectionate for “Evgeny”], no one will give you Shoigu or Gerasimov, no one, especially in this situation. You know Putin as well as I do. He won’t talk to you on the phone, let alone meet with you in this situation.”,
Lukashenko akaendelea kusema Prigozhin aliikuwa akisema, "They want to strangle us. We will go to Moscow." akimaanisha mikataba ambayo yaitaka Wagner na vikundi vingine vya kijeshi visaini mikataba mipya na jeshi la Russia kuwa sehemu rasmi ya jeshi.
Na yeye (Lukashenko) akamjibu Prigozhin kwa kumwambia kuwa,-
“I say, ‘Halfway there, they’ll just crush you like a bedbug. … Think about it, I say. I told Putin, too: ‘We can whack him. It’s not a problem. If not at the first try, then at the second...”
Lukashenko anaendelea kusema kwamba aliongea zaidi ya mara sita na Prighozin mpaka alipokubali kuachana na madai yake ila bado akawa na mashaka na usalama wake na usalama wa vikosi vyake. Lukashenko akasema akamuahidi Prigozhin kwamba hakuna litalotokea na kwamba amwachie hilo nae (Lukashenko) atalishughulikia.
Lukashenko akampigia simu Bortnikov na akamwambia kuwa ikiwa Prigozhin atampigia basi apokee simu hiyo. Hivyo Prigozhin nae akapigia simu Bortnikov na wakazungumza kirefu na mwisho wakakubaliana kwamba yeye (Prigozhin) na vijana wake hawatashughulikiwa na mashtaka yote yatafutwa.
Baadae Prigozhin akatangaza kusitisha misafara ya kuelekea Moscow na kwamba warudi kambini.
Kuna maneno hapo na mbinu za mawasiliano ambayo Lukashenko ametumia yanoonyesha jinsi makundi ya watu waitwao "Gangsters" ambao ni watu wenye pesa, nguvu, wenye mamlaka na wenye uthubutu yanavyofanya shughuli zake.
Lukashenko ni rafiki yake mkubwa Prigozhin kwa miaka karibu 20 na yasemwa ndie aliemtambulisha Prigizhin kwa Putin wakiwa vijana wadogo pale St Petersburg. Putin aliporudi Moscow akawa afanya kazi kwenye manispaa ya St Petersburg na hapo ndipo alipoanza kuunda mtandao wake hatari sana.
Baada ya USSR kuanguka Putin akawa ni sehemu ya wale matajiri na mabwanyenye wengine ambao ndo walimuandaa kuwa kiongozi wa Russia kitambo sana ila kwa siri na bila mtu yoyote kufahamu hiyo. Hata Boris Yetsin nae alipopewa jina la mtu ambae atakuwa waziri mkuu wake, hakujiuliza mara mbili akampa nafasi hiyo.
Putin, Lukashenko na Prigozhin ni matunda ya kuanguka kwa USSR na kuzaliwa kwa makundi haya ya watu wenye nguvu katika jamii. Kwenye miaka ya tisini mabwanyenye walikuwa katika vita ya kugombea mali za nchi hiyo baada ya kuanguka kwa ilokuwa USSR na wengi wao akiwemo Mikhail Khodorkovsky ambae leo hii ndie asemwa kuwa ndie alie nyuma ya mpango mzima wa kumuondoa Putin kwa msaada wa watu wa nje.
Khodorkovsky kwa sasa aishi nje ya Russia (yasemwa yuko London) lakini alikuwa ni mmoja wa watu wa karibu wa raisi Putin akifanya Kremlin kama sebuleni. Baada ya kufungwa jela na kutoka gerezani, Khodorkovsky aliambiwa na Putin aondoke mwenyewe Moscow.
Kwahiyo tukio la jumamosi laonyesha wazi kuwa Prigozhin aliandaliwa na kundi hili ambao lipo ndani ya nje ya Russia wakiwemo wengi waloathirika na hali ya uchumi na kuzuiliwa fedha zao nje katika mabenki mbalimbali Khodorkovsky akiwemo.
Akiandika katika ukarasa wake kwenye telegram baada ya kuasi wa Wagner kushindwa Khodorkovsky alisema" That the coup was prepared with some significant level of NATO involvement is clear enough. But to portray the coup as primarily the product of a CIA conspiracy would be to ignore the real divisions that exist in the Russian regime and the social interests that determine its policies. Prigozhin’s coup attempt exposes above all the bankruptcy of the Putin regime itself, out of which Prigozhin himself emerged."
Hivyo hii yaonyesha na kuthibitisha kuwa tukio la jumamosi lilipangwa kutoka pande zote ndani ya nje ya Russia na hiyo ni kwa sababu Ukraine imeshindwa kuvunja mistari ya kwanza ya kujilinda au "self line of defence ya majeshi ya Russia".
Lakini kwa mshangao wa nchi za NATO, Marekani na Dunia tukio la jumamosi lilishindwa kutekelezwa na Prigozhin na akaachwa peke yake. Sasa kwanini Russia ni nchi hatari sana duniani?
Kama nilivyosema hapo juu kwamba katikati ya miaka ya tisini mabwanyenye walikuwa katika vita ya wao kwa wao kugombania mali na urithi mkubwa wa nchi hiyo hivyo kuanza kuunda makampuni ya kijeshi na kila bwanyenye akawa na kundi lake. Hivyo wanajeshi wastaafu, majasusi wastaafu na watu wengine wa rika mbalimbali walichaguliwa kujiunga na makundi haya.
Tangu hapo hadi kufikia mwaka 2015 Wagner ilipoundwa, Russia leo hii ina makundi ya kijeshi yapatayo 23,000 na watu wapatao 70,000 wameajiriwa na makampuni haya ambayo yana ofisi na makambi katika nchi mbalimbali barani Afrika na nchi za Syria na Libya.
Kwa kuona ugumu wa kuyadhibiti makundi haya serikali ya Russia kupitia Bunge ikapitisha sheria ya kuyatambua rasmi makundi haya na kuyataka yote yajisajili katika jeshi la Russia kwa kuwa bado hadi sasa vifaa vyote na vituo vya kombania vikundi hivi vyatumia vifaa vya jeshi la Russia.
Kwa kuwa Wagner walichukua Bakhmut, kisheria walikuwa hawana kinga rasmi kama sehemu ya jeshi la Russia ikiwa wapo ndani ya eneo lote la Donbass, hivyo serikali ikaona hilo kuwa liwe ni sheria rasmi na yale yote Wagner wanoyafanya ndani ya Donbass yatakuwa ni kwa sheria za Russia.
Lakini kitendawili kimekuja kwamba kwanini Prigozhin aende Belarus?
Jibu ni kwamba Lukashenko amekubaliana na Putin na Prigozhin kwamba sehemu ya Jeshi la Wagner waende Belarus ili kuwapa mafunzo rasmi ya kijeshi jeshi la Belarus ili liwe tayari na vita kubwa inokuja huko siku za mbele. Ikumbukwe kuwa Wagner ana zaidi ya vikosi vipatavyo 50,000 na hadi leo amegawa mara mbili na 25,000 wameenda Belarus.
Pili, ni kulinda mitambo na vifaa vyote vya kijeshi vya Russia ambavyo imeweka hapo zikiwemo silaha za nyuklia.
Na pia Wagner wameruhusiwa na Lukashenko kuchukua eneo kubwa kwa ajili ya shughuli zao za kijeshi na pia Wagner imeripotiwa kuendelea na shughuli za kuandikisha vijana wapya!
Haya yote ni kitendawili ambacho watu hawa watatu hadi sasa wamewachanganya NATO, Marekani na hata dunia kwa shughuli zao zisizoeleweka na kuleta hofu kubwa ndani ya bara la Ulaya.
Pia Russia yaonyesha kuwa ni nchi ambayo ni vigumu sana kuielewa na kwamba huu muunganiko wa sasa wa Putin, Lukashenko na Prigozhin waashiria jambo moja tu huko mbele, kuingia Kyiv na kuweka serikali ambayo itakuwa rafiki na Russia, na hiyo itakuwa ni majibu ya tukio la jumamosi ilopita.
Vyanzo: Uchambuzi wa mahojiano ya raisi wa Belarus Alexander Lukashenko.
Nimetoka kuongea na mzee mmoja alikuwa Russia juzi pia aliwahi kufanya kazi huko enzi za Nyerere, kasema ule mchezo ni mpango wa kwenda Kyev
Prigoziny na Putin wote wanatoka S. Petersburg ( Real Russian), Shoigu anatoka Tuva Eastern Russia Siberian. Putin anamlea Prigoziny kwa kuwa ni wanyumbani, ata akilopoka Putin ukaa kimya. Shoigu ndio amejitengenezea nafasi ya uridhi wa nchi Putin akiondoka, hii inawaogopesha Warusi asiria( Prigoziny, Surovikin, Gerasimov, na Waziri Mkuu wa Urusi), Nani atairidhi nchi baada ya Putin?, ndio kinachogombaniwa hapo. Sababu Shoigu ni Jamii ya Wa Tubal wanatokea Tuva karibu na mpaka wa nchi ya Mongolia na Urusi, na Warusi hawapendi mtu asie Mrusi asilia kutawala Urusi( Kumbuka Walivyomchukia Joseph Stalin M Georgia alipotawala Urusi baada ya Lenin). Putin anatimiza malengo yake ya Kuifanya Urusi kuwa nchi ya kuogopwa na yenye nguvu, lakini wapambe wake Prigoziny, Surovikin, Shoigu, Gerasimov, wanapambana kujinufaisha ili wapate ukuu. Kitakachofuata, ni Prigoziny atajijenga Kule Belarus kumkabili Shoigu kwa Pesa za Waberalus, na Shoigu atajijenga upya kumkabili Prigoziny, watajifanya kuelewana, kutakua makundi 2 katika jeshi la Urusi kichini chini, Shoigu/ Chechinia/Siberian Vs Prigoziny/ Surovikin/Real Russian. Wote watasubiri vita vingine vijavyo iwe Putin yupo au Hayupo, watauana na kugawana Mbao nchi ya Urusi. Chachinia, Dagestan, Ingushetia, Siberian kila jamii na lugha zitaachana. Kumbuka mafuta mengi yanatoka Siberia kwa Shoigu. Hakuna vita tena Kati ya NATO na Russia, lakini kutakua na vita kati ya Washirika wa Russia (Iran, Palestine, Syria, Turkey, China) Vs Washirika wa NATO ( Israel na Taiwan), Russia na Belarus watapeleka vikosi vya kukodi na Siraha nyingi. Dunia itagawanyika(Unipolar world).Kwa hayo yaliyotokea Jumamosi yameithibitishia dunia kwamba Russia ni nchi kubwa, na hatari sana duniani kwa kila kitu.
Pia Putin, Lukashenko na Prigozhin ni watu hatari sana na ni wale twasema "real gangsters".
Prigozhin amewahi kufungwa jela kama miaka 10 hivi na akatolewa kwa msamaha wa Putin kisha akapanda akaanza vibiashara uchwara vidogovidogo na baadae kuanzisha kampuni ya kutengeneza na kutayarisha vyakula na vinywaji yaani catering business.
Hafla nyingi zilokuwa zikifanyika mjini St Petersburg Prigozhin alikula zabuni zote na kwa msaada wa Putin.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Lukashenko akaeleza jinsi alivyomuokoa Prigozhin kutoka kwa makucha ya Putin na mkurugenzi mkuu wa Shirika la Ujasusi la FSB Alexander Bortikov asimdhuru Prigozhin ambae alikuwa akingojwa aingie Moscow na iwe mwisho wake.
Lukashenko adai kuwa kulikuwa na mazungumzo kati yake yeye, Prigozhin na Bortnikov.
Lukashenko akasema akumbuka kauli ya Putin kwamba nanukuu: "Putin told me: ‘Look, Sasha [affectionate for “Alexander” in Russian], it’s no use. He [Prigozhin] doesn’t even pick up the phone, he doesn’t want to talk to anyone.’”
Hapo juu kwenye neno " Is no use" laashiria kwamba amri ya kumshughulikia Prigozhin ilikuwa imetolewa na Lukashenko akawa amfikiria rafiki yake Prigozhin na akampigia simu kumwambia jinsi vikosi vya Russia vilojipanga mjini Moscow tayari kwa mapigano.
Lukashenko aendelea kusema alipomuomba Putin namba ya Prigozhin, Putin akajibu kuwa hana namba yake (kwa kuogopa wire tapping) akamwambia amtafute Bortnikov anayo.
Raisi Lukashenko akaendela na "story" kwamba waliongea sana na Prigozhin na kujibizana maneno makali ya matusi ya hali ya juu huku Prigozhin akitaka kuonana na raisi Putin kumtaka awaondoe Shoigu na Gerasimov.
Lukashenko akasema alimjibu Prigozhin kwa kusema, “I say, ‘Zhenya [affectionate for “Evgeny”], no one will give you Shoigu or Gerasimov, no one, especially in this situation. You know Putin as well as I do. He won’t talk to you on the phone, let alone meet with you in this situation.”,
Lukashenko akaendelea kusema Prigozhin aliikuwa akisema, "They want to strangle us. We will go to Moscow." akimaanisha mikataba ambayo yaitaka Wagner na vikundi vingine vya kijeshi visaini mikataba mipya na jeshi la Russia kuwa sehemu rasmi ya jeshi.
Na yeye (Lukashenko) akamjibu Prigozhin kwa kumwambia kuwa,-
“I say, ‘Halfway there, they’ll just crush you like a bedbug. … Think about it, I say. I told Putin, too: ‘We can whack him. It’s not a problem. If not at the first try, then at the second...”
Lukashenko anaendelea kusema kwamba aliongea zaidi ya mara sita na Prighozin mpaka alipokubali kuachana na madai yake ila bado akawa na mashaka na usalama wake na usalama wa vikosi vyake. Lukashenko akasema akamuahidi Prigozhin kwamba hakuna litalotokea na kwamba amwachie hilo nae (Lukashenko) atalishughulikia.
Lukashenko akampigia simu Bortnikov na akamwambia kuwa ikiwa Prigozhin atampigia basi apokee simu hiyo. Hivyo Prigozhin nae akapigia simu Bortnikov na wakazungumza kirefu na mwisho wakakubaliana kwamba yeye (Prigozhin) na vijana wake hawatashughulikiwa na mashtaka yote yatafutwa.
Baadae Prigozhin akatangaza kusitisha misafara ya kuelekea Moscow na kwamba warudi kambini.
Kuna maneno hapo na mbinu za mawasiliano ambayo Lukashenko ametumia yanoonyesha jinsi makundi ya watu waitwao "Gangsters" ambao ni watu wenye pesa, nguvu, wenye mamlaka na wenye uthubutu yanavyofanya shughuli zake.
Lukashenko ni rafiki yake mkubwa Prigozhin kwa miaka karibu 20 na yasemwa ndie aliemtambulisha Prigizhin kwa Putin wakiwa vijana wadogo pale St Petersburg. Putin aliporudi Moscow akawa afanya kazi kwenye manispaa ya St Petersburg na hapo ndipo alipoanza kuunda mtandao wake hatari sana.
Baada ya USSR kuanguka Putin akawa ni sehemu ya wale matajiri na mabwanyenye wengine ambao ndo walimuandaa kuwa kiongozi wa Russia kitambo sana ila kwa siri na bila mtu yoyote kufahamu hiyo. Hata Boris Yetsin nae alipopewa jina la mtu ambae atakuwa waziri mkuu wake, hakujiuliza mara mbili akampa nafasi hiyo.
Putin, Lukashenko na Prigozhin ni matunda ya kuanguka kwa USSR na kuzaliwa kwa makundi haya ya watu wenye nguvu katika jamii. Kwenye miaka ya tisini mabwanyenye walikuwa katika vita ya kugombea mali za nchi hiyo baada ya kuanguka kwa ilokuwa USSR na wengi wao akiwemo Mikhail Khodorkovsky ambae leo hii ndie asemwa kuwa ndie alie nyuma ya mpango mzima wa kumuondoa Putin kwa msaada wa watu wa nje.
Khodorkovsky kwa sasa aishi nje ya Russia (yasemwa yuko London) lakini alikuwa ni mmoja wa watu wa karibu wa raisi Putin akifanya Kremlin kama sebuleni. Baada ya kufungwa jela na kutoka gerezani, Khodorkovsky aliambiwa na Putin aondoke mwenyewe Moscow.
Kwahiyo tukio la jumamosi laonyesha wazi kuwa Prigozhin aliandaliwa na kundi hili ambao lipo ndani ya nje ya Russia wakiwemo wengi waloathirika na hali ya uchumi na kuzuiliwa fedha zao nje katika mabenki mbalimbali Khodorkovsky akiwemo.
Akiandika katika ukarasa wake kwenye telegram baada ya kuasi wa Wagner kushindwa Khodorkovsky alisema" That the coup was prepared with some significant level of NATO involvement is clear enough. But to portray the coup as primarily the product of a CIA conspiracy would be to ignore the real divisions that exist in the Russian regime and the social interests that determine its policies. Prigozhin’s coup attempt exposes above all the bankruptcy of the Putin regime itself, out of which Prigozhin himself emerged."
Hivyo hii yaonyesha na kuthibitisha kuwa tukio la jumamosi lilipangwa kutoka pande zote ndani ya nje ya Russia na hiyo ni kwa sababu Ukraine imeshindwa kuvunja mistari ya kwanza ya kujilinda au "self line of defence ya majeshi ya Russia".
Lakini kwa mshangao wa nchi za NATO, Marekani na Dunia tukio la jumamosi lilishindwa kutekelezwa na Prigozhin na akaachwa peke yake. Sasa kwanini Russia ni nchi hatari sana duniani?
Kama nilivyosema hapo juu kwamba katikati ya miaka ya tisini mabwanyenye walikuwa katika vita ya wao kwa wao kugombania mali na urithi mkubwa wa nchi hiyo hivyo kuanza kuunda makampuni ya kijeshi na kila bwanyenye akawa na kundi lake. Hivyo wanajeshi wastaafu, majasusi wastaafu na watu wengine wa rika mbalimbali walichaguliwa kujiunga na makundi haya.
Tangu hapo hadi kufikia mwaka 2015 Wagner ilipoundwa, Russia leo hii ina makundi ya kijeshi yapatayo 23,000 na watu wapatao 70,000 wameajiriwa na makampuni haya ambayo yana ofisi na makambi katika nchi mbalimbali barani Afrika na nchi za Syria na Libya.
Kwa kuona ugumu wa kuyadhibiti makundi haya serikali ya Russia kupitia Bunge ikapitisha sheria ya kuyatambua rasmi makundi haya na kuyataka yote yajisajili katika jeshi la Russia kwa kuwa bado hadi sasa vifaa vyote na vituo vya kombania vikundi hivi vyatumia vifaa vya jeshi la Russia.
Kwa kuwa Wagner walichukua Bakhmut, kisheria walikuwa hawana kinga rasmi kama sehemu ya jeshi la Russia ikiwa wapo ndani ya eneo lote la Donbass, hivyo serikali ikaona hilo kuwa liwe ni sheria rasmi na yale yote Wagner wanoyafanya ndani ya Donbass yatakuwa ni kwa sheria za Russia.
Lakini kitendawili kimekuja kwamba kwanini Prigozhin aende Belarus?
Jibu ni kwamba Lukashenko amekubaliana na Putin na Prigozhin kwamba sehemu ya Jeshi la Wagner waende Belarus ili kuwapa mafunzo rasmi ya kijeshi jeshi la Belarus ili liwe tayari na vita kubwa inokuja huko siku za mbele. Ikumbukwe kuwa Wagner ana zaidi ya vikosi vipatavyo 50,000 na hadi leo amegawa mara mbili na 25,000 wameenda Belarus.
Pili, ni kulinda mitambo na vifaa vyote vya kijeshi vya Russia ambavyo imeweka hapo zikiwemo silaha za nyuklia.
Na pia Wagner wameruhusiwa na Lukashenko kuchukua eneo kubwa kwa ajili ya shughuli zao za kijeshi na pia Wagner imeripotiwa kuendelea na shughuli za kuandikisha vijana wapya!
Haya yote ni kitendawili ambacho watu hawa watatu hadi sasa wamewachanganya NATO, Marekani na hata dunia kwa shughuli zao zisizoeleweka na kuleta hofu kubwa ndani ya bara la Ulaya.
Pia Russia yaonyesha kuwa ni nchi ambayo ni vigumu sana kuielewa na kwamba huu muunganiko wa sasa wa Putin, Lukashenko na Prigozhin waashiria jambo moja tu huko mbele, kuingia Kyiv na kuweka serikali ambayo itakuwa rafiki na Russia, na hiyo itakuwa ni majibu ya tukio la jumamosi ilopita.
Vyanzo: Uchambuzi wa mahojiano ya raisi wa Belarus Alexander Lukashenko.
Kwa jinsi unavyoji shebedua unaonekana kichwani mweupeeee kama sembeTulijua tu kwamba baada ya watu uingizwa shimoni kama panya baadae kuokolewa na Prighozin sasa mnajitapa wakati mlikuwa kimya!!!
Superpower gani anaye kimbizwa pangoni bwashee, USA ndio mwisho wa kila kitu aise, hamna viujinga ujinga kama hayo ya nchi kutekwa ndani ya masaa mawili maadui wanabakiza kilomita 200 to Moscow.
Dogo kwa kifupi mmevuliwa nguo na mpishi Urusi wazidi kudhalilika aise, hata china haiwezi kubali ujinga huo jombaa, Russia ni kweupe bwashee
kuna wamba wako nyuma ya putin hao ndo hatari kuna mwamba anaitwa roman abramovichKipindi cha uraisi wa Boris Yeltsin ndicho kipindi wale Oligarchs wote walikuwa wameishika Russia na walikuwa na uwezo wa hata kumteua mtu wanaemtaka awe raisi.
Watu kama Mikhali Khodorkovsky ambae alikuwa mtu wa karibu na Putin na wamefanya kazi pamoja Kremlin. Lakini mtu ambae alipendekeza jina la Putin kwa maelekezo ya "Deep State" ni Sergei Stepashin ambae aliwahi kuongoza idara ya FSK (sasa FSB).
Katika watu ambao wamekaa serikalini muda mfupi sana ni Stepashin kwani amekuwa waziri mkuu kwa mwaka mmoja tu 1998/99 kabla ya kumpendekeza Vladimir Putin kwa Yeltsin.
Hivyo jamaa hawa (Oligarchs), mazee wa Deep State na wale wa Sloviki (majasusi na wanajeshi wa zamani wa KGB na Jeshi) ambao Putin yumo, ndo wanoingoza Russia kwa sasa.
Putin hajawa raisi wa Russia kwa bahati mbaya.
Gangster ni mwamba.
Lukashenko akiamua kukuua wewe sasa hivi kwa sababu ana nguvu za kufanya hivyo, na hakuna atakayemsimamisha, utakubali na kupenda hilo?Gangster ni mwamba.
Lukashenko ni mwamba pia, miaka miwili nyuma aliwahi kutuma ndege ya kivita ya Belarus ilokuwa ndani ya anga la Belarus ikielekea Lithuania na kuirudisha ndege ya shirika la ndege la Ireland ya Rynaair mjini Misnk bila majibu ya NATO.
Ndege hiyo ilikuwa imembeba mwandishi wa habari na blogger Roman Protasevich ambae alikuwa na DOCUMENTS muhimu ambazo Lukashenko alizihitaji.
Nchi za NATO hazikujaribu hata chembe ya kuingilia zoezi hilo ambalo Lukashenko alituma ndege za kivita za Mig-29.
Sanasana walokifanya ni kuongeza vikwazo vya kiuchumi kwa Belarus kupitia baraza la EU.
Hili halikuwa tukio la kawaida na liliwastua karibu nchi nyingi za EU kwani hazikutarajia Lukashenko kuamuru zoezi hilo. Marubani kwa ndege za Mig-29 waliambiwa wahakikishe ndege hiyo haiingii anga la NATO lakini ndege ya Rynaair tayari ilikuwa karibu na mji mkuu wa Vilnius nchini Lithuania ambayo ni mwanachama wa NATO.
Hawa jamaa ni miamba si watu wa mchezomchezo.
Hawa watu ni " smarter upstairs" huwa hawafikirii hayo.Lukashenko akiamua kukuua wewe sasa hivi kwa sababu ana nguvu za kufanya hivyo, na hakuna atakayemsimamisha, utakubali na kupenda hilo?
Uchambuzi au kwa kiingereza huitwa analysis ni uchambuzi wa kina (detailed examination) juu ya mambo kadhaa (elements) kile ulokiona au kukisikia.Ngoja Watakuja kukwambia uwawekee ka~summary kidogo maana ni ndefu
Umeshindwa zoezi rahisi la fikra za kidhahania.Hawa watu ni " smarter upstairs" huwa hawafikirii hayo.
Pia yategemea na kesi kama za wasaliti huwa ni "fast trucked" na vijana wa kazi hutumwa popote pale ulipo duniani.
Watu wamefuatwa mmoja kanywa chai ya rangi na mwingine akawekewa poda kwenye kitasa hawa waliitwa wasaliti.
Mimi hapa nilipo Kibaigwa hata hawafahamu huyu Richard ni nani.
Richard Who?
Russia is a mafia state, hili lipo wazi tu, ila huu uasi mfupi umemuaibisha sana Putin (strong man) na kuonyesha hana udhibiti wa kila kitu huko Moscow.Kwa hayo yaliyotokea Jumamosi yameithibitishia dunia kwamba Russia ni nchi kubwa, na hatari sana duniani kwa kila kitu.