Baada ya tukio la TRA Tegeta sasa hivi kila usiku polisi wanakamata watu na kuunganishwa kwenye kesi, huu ni uonevu

Baada ya tukio la TRA Tegeta sasa hivi kila usiku polisi wanakamata watu na kuunganishwa kwenye kesi, huu ni uonevu

We nawe embu tutolee uchawa wako unaotia kinyaa
Wewe ni zaidi ya kinyaa! Wewe unaona mtu kuwawa ni sawa au? Kama itabidi wauwawe kabisa na wao kama walivyomua huyo mfanyakazi wa TRA bila sababu yoyote pia kama na wewe ulishiriki wakutafute wakushughulikie kisawasawa. Yaani unawatetea wauaji sasa wewe tukuite nani kama siyo muuaji kama hao!
 
RC Chalamila alisema watapasafisha hapo Tegeta🐼

Kuongoza Watu kunahitaji hekima zaidi kuliko nguvu.
Ndiyo maana Mfalme Suleiman aliomba hekima imsaidie ktk kuamua vyema ktk kuongoza watu badala ya kuomba kuwa na majeshi yenye nguvu n.k
 
Back
Top Bottom