Wewe ni zaidi ya kinyaa! Wewe unaona mtu kuwawa ni sawa au? Kama itabidi wauwawe kabisa na wao kama walivyomua huyo mfanyakazi wa TRA bila sababu yoyote pia kama na wewe ulishiriki wakutafute wakushughulikie kisawasawa. Yaani unawatetea wauaji sasa wewe tukuite nani kama siyo muuaji kama hao!
Kuongoza Watu kunahitaji hekima zaidi kuliko nguvu.
Ndiyo maana Mfalme Suleiman aliomba hekima imsaidie ktk kuamua vyema ktk kuongoza watu badala ya kuomba kuwa na majeshi yenye nguvu n.k