Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Anatamaa sana.Katika majina yanayotajwa mpaka muda huu kwamba yamechukua fomu ya kuomba Uspika , limo jina la Naibu Spika Tulia Ackson , kwa maana hiyo ni kwamba huyu mama hautaki unaibu Spika...
Tunashukuru sanaImeshatangazwa!
Isije ikawa akaangukia pua kwenye uspika halafu akarudi tena kwenye unaibu.Kweli mkuu nafasi zote zitangazwe ili wenye sifa wajipime mapema
Navohisi hii ananafasi kubwa ya kushinda . Ukiona amejitoa kwa ujasiri mkubwa ujue tayari ameshaandaliwa kwa kupewa kiti cha uspika kwa kigezo cha uzoefu. Itunze hii tutakuja kuitumia baadaeIsije ikawa akaangukia pua kwenye uspika halafu akarudi tena kwenye unaibu.
Ngoja tuone , basi kama ni hivyo ni bora nafasi yake itangazwe kuwa waziNavohisi hii ananafasi kubwa ya kushinda . Ukiona amejitoa kwa ujasiri mkubwa ujue tayari ameshaandaliwa kwa kupewa kiti cha uspika kwa kigezo cha uzoefu. Itunze hii tutakuja kuitumia baadae
Sawa mkuuNgoja tuone
Dogo! Uko fast kurepy,Imeshatangazwa!
Naibu Spika anauchu wa madaraka ana 2025 fever akatwe asubiri 2025.Katika majina yanayotajwa mpaka muda huu kwamba yamechukua fomu ya kuomba Uspika, limo jina la Naibu Spika Tulia Ackson, kwa maana hiyo ni kwamba huyu mama hautaki unaibu Spika...
Na anapenda sana kubebwa bebwa huyu...Anatamaa sn
Ile speech yake ya leo mbele ya raisi inaonesha kabisa huyu anaenda kabisa kuzamisha chomboNaibu Spika anauchu wa madaraka ana 2025 fever akatwe asubiri 2025.
Leo amepewa nafasi ya kuhutubia dunia kutokea Chamwino wataalamubwa Diplomasia tumeng'amua Jambo. Dr Nchimbi Naibu.Navohisi hii ananafasi kubwa ya kushinda . Ukiona amejitoa kwa ujasiri mkubwa ujue tayari ameshaandaliwa kwa kupewa kiti cha uspika kwa kigezo cha uzoefu. Itunze hii tutakuja kuitumia baadae
Kwa upande wake kisiasa amejiongezea credit za ziadaLeo amepewa nafasi ya kuhutubia dunia.