Baada ya Tulia Ackson kuchukua fomu ya kuomba Uspika, kwanini nafasi ya Naibu Spika nayo isitangazwe kuwa wazi?

Baada ya Tulia Ackson kuchukua fomu ya kuomba Uspika, kwanini nafasi ya Naibu Spika nayo isitangazwe kuwa wazi?

Mimi nasubiri kuona kama kutakua na Yale mambo ya kutekana na kupora fomu kama walivyokua wakifanyiwa wapinzani wakati wa kurudisha form za ubunge.
 
Katika majina yanayotajwa mpaka muda huu kwamba yamechukua fomu ya kuomba Uspika, limo jina la Naibu Spika Tulia Ackson, kwa maana hiyo ni kwamba huyu mama hautaki unaibu Spika...
CCM hawanaga vitu kama hivyo,akipatia fursa anagombea na akikosa anarejea kwenye kiti kwa kasi ya nyati aliyejeruhiwa.Wanataka vyote ikibidi,Uroho wa Madaraka tu!

Unaweza kuta Ndugai naye bado anataka kurudi na ndiyo maana barua alipeleka kwa Chongolo ili akanushe kujiuzulu-Lipumba style.
 
Wakuu Habari ya Asubuhi.

Je Ni Nini Kinatakiwa Kutangulia?...
Wakati mwendazake anamteua GAG mpya Prof. Assad alikuwa bado CAG. Yani unaenda kazini asubuhi unakuta kuna njemba imekalia kiti chako

Usishangae tukajikuta tuna mtu mmoja ambaye ni Spika na Naibu Spika kwa wakati mmoja.

Hakuna linaloshindikana kibongobongo
 
Ndiyo anachotaka huyu mama
 
Back
Top Bottom