Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hujui sheria acha kubweka, kunywa maji kwanzaKuchukua form, kurudisha form, kuteukiwa na kuchagukiwa ni vitu vinne tofauti.
Mtu kachukua form tu unaanza kubweka, je atarudisha, je atateuliwa, je, atachaguliwa!?
Tunawashukuru Wana Mbeya MjinKwa upande wake kisiasa amejiongezea credit za ziada
Wanasema kuwa una ufala mwingi, uache!Kwani chadema wanasemaje?
Kama hawaachiani maji ya kunywa mezani hili la kuporana fomu linawezekanaMimi nasubiri kuona kama kutakua na Yale mambo ya kutekana na kupora fomu kama walivyokua wakifanyiwa wapinzani wakati wa kurudisha form za ubunge.
Hebu taja sheria inayosema mtu akichukua form ya Usipika akiwa Naibu anaachia ngazi.Hujui sheria acha kubweka, kunywa maji kwanza
CCM hawanaga vitu kama hivyo,akipatia fursa anagombea na akikosa anarejea kwenye kiti kwa kasi ya nyati aliyejeruhiwa.Wanataka vyote ikibidi,Uroho wa Madaraka tu!Katika majina yanayotajwa mpaka muda huu kwamba yamechukua fomu ya kuomba Uspika, limo jina la Naibu Spika Tulia Ackson, kwa maana hiyo ni kwamba huyu mama hautaki unaibu Spika...
Ndio mana alikuwa anafurahia Job alipoachia kiti chakeKatika wote wataowania uspika bila shaka yeye pekee ndiye atayekuwa na uzoefu kuzidi yeyote...
Hivyo ni simple logic ya kwa nini Tulia kachukua hizo form...
Fomu zinatolewa kwa USPIKA TUImeshatangazwa!
Funika Kombe Mwanaharamu Apite?[emoji846]Wakuu Habari ya Asubuhi.
Je Ni Nini Kinatakiwa Kutangulia?
1) Kuchukua Form Kwanza
2) Kujiuzulu Unaibu Spika Kwanza
3) Au Business as Usual:-
Funika Kombe Mwanaharamu Apite?[emoji846][emoji854].
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa sanaFunika Kombe Mwanaharamu Apite?[emoji846]
Wakati mwendazake anamteua GAG mpya Prof. Assad alikuwa bado CAG. Yani unaenda kazini asubuhi unakuta kuna njemba imekalia kiti chakoWakuu Habari ya Asubuhi.
Je Ni Nini Kinatakiwa Kutangulia?...
Huyo bibi ana tamaa sn anataka vyoteWakuu Habari ya Asubuhi.
Je Ni Nini Kinatakiwa Kutangulia?
1) Kuchukua Form Kwanza
2) Kujiuzulu Unaibu Spika Kwanza
3) Au Business as Usual:-
Funika Kombe Mwanaharamu Apite?[emoji846][emoji854].
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo anachotaka huyu mamaWakati mwendazake anamteua GAG mpya Prof. Assad alikuwa bado CAG. Yani unaenda kazini asubuhi unakuta kuna njemba imekalia kiti chako
Usishangae tukajikuta tuna mtu mmoja ambaye ni Spika na Naibu Spika kwa wakati mmoja.
Hakuna linaloshindikana kibongobongo