Ka mama haka kana tamaa na madaraka...kwanza kalisaidiwa kuiba kura kakapata ubunge, afu mwendazake akakapa u naibu spika....sasa kameona kaombe u Spika kabisa huku cheo cha kenyewe kibaki salama...CCM ni chama cha ajabu sana.
Huyo katibu wa Bunge unayemtaja ana riport kwa Mwenyekiti wa CCM taifa.
Tanganyika kusonga mbele itachukua karne nyingi sana kama hatutabadikisha katiba hii.