Pre GE2025 Baada ya Tundu Lissu kuchukua fomu ya kugombea Uenyekiti Taifa, jambo gani umelijua kuhusu CHADEMA ambalo awali hukulijua?

Pre GE2025 Baada ya Tundu Lissu kuchukua fomu ya kugombea Uenyekiti Taifa, jambo gani umelijua kuhusu CHADEMA ambalo awali hukulijua?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Habari wakuu

Tumeona siku za hivi karibu ndani ya CHADEMA kumechamgamka sana baada ya Makamu Mwenyekiti Bara, Tundu Lissu kuweka nia ya kugombea Uenyekiti Taifa wa CHADEMA.

Swali langu kwenu, ni mambo gani umeyafahamu baada ya mwamba huyo kuweka nia ambayo huko nyuma hukuyajuaau hukufikiria kama yangeweza kutokea.

20241220_104301.jpg
Screenshot_20241220_104147_X.jpg
20241220_103248.jpg
 
Nimejufunza Chadema wanatoa form zaidi ya moja za kugombania uwenyekiti
 
Nimejifunza kuwa CHADEMA Wana democrasia Pana, kwamba nafasi ya mwenyekiti haitolewi kwa mtu mmoja kama CCM .
 
kwamba kumbe posho inapatikana na mshahara mkubwa kweli. level za wakurugenzi 3.5 take home.
 
Nimejifunza haya
1.Mbowe hana tofauti na madikteta wengine kama assad wa Syria,Ghadaf,Museven na Kagame kwa kutokukubali kuachia madaraka.
2.Chadema huwa wanauana wao kwa wao halafu wanasingizia Serikali
3.Chadema wanapigana juju kisa uenyekiti
 
Nimejifunza kuwa ndani ya chadema kuna demokrasia kila mtu yupo huru kugombea nafasi mbali mbali.
 
Nimejifunza haya
1.Mbowe hana tofauti na madikteta wengine kama assad wa Syria,Ghadaf,Museven na Kagame kwa kutokukubali kuachia madaraka.
2.Chadema huwa wanauana wao kwa wao halafu wanasingizia Serikali
3.Chadema wanapigana juju kisa uenyekiti
Nani kamuua nani kwenye huu uchaguzi?
 
Nimejua " mfuko wa Abdul" ni mkubwa mpaka ameingia kamanda Mbowe na chawa wake
 
Habari wakuu

Tumeona siku za hivi karibu ndani ya CHADEMA kumechamgamka sana baada ya Makamu Mwenyekiti Bara, Tundu Lissu kuweka nia ya kugombea Uenyekiti Taifa wa CHADEMA.

Swali langu kwenu, ni mambo gani umeyafahamu baada ya mwamba huyo kuweka nia ambayo huko nyuma hukuyajuaau hukufikiria kama yangeweza kutokea.

View attachment 3180794View attachment 3180795View attachment 3180796

Chadema imewekwa mfukoni na mbowe. Pili kuna wahuni wengi. Tatu ccm inamuhitaji mbowe kuliko Lissu. CCM iliinunua CDM kwa kumrambisha mbowe assli.CCM wanampigia mbowe kampeini. Lissu anaogopwa na ccm kuliko mtu yeyote. Mwisho, Lissu ni mgombea sahihi kabisa !!!!
 
Nimejifunza kuwa, kumbe:-
1. Yericko Nyerere uandishi wa vitabu vya unasusi haumlipi, anategemea kulamba viatu vya Mbowe kuendesha maisha yake.

2. Bonge Yai ana akili ndogo sana kuliko sisimizi. Na mayai hayamlipi, anategemea uchawa wake kwa Mbowe ili kuendesha maisha yake
 
Back
Top Bottom