mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Nani kamuua nani kwenye huu uchaguzi?Nimejifunza haya
1.Mbowe hana tofauti na madikteta wengine kama assad wa Syria,Ghadaf,Museven na Kagame kwa kutokukubali kuachia madaraka.
2.Chadema huwa wanauana wao kwa wao halafu wanasingizia Serikali
3.Chadema wanapigana juju kisa uenyekiti
Habari wakuu
Tumeona siku za hivi karibu ndani ya CHADEMA kumechamgamka sana baada ya Makamu Mwenyekiti Bara, Tundu Lissu kuweka nia ya kugombea Uenyekiti Taifa wa CHADEMA.
Swali langu kwenu, ni mambo gani umeyafahamu baada ya mwamba huyo kuweka nia ambayo huko nyuma hukuyajuaau hukufikiria kama yangeweza kutokea.
View attachment 3180794View attachment 3180795View attachment 3180796