Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hapana kaka, mm nina experience ya soka la vijana.Tanzania hatuna vipaji vya mpira wa miguu, tunaupenda tu, lkn hakuna vipaji kabisa, mtalaumu makocha bure
Kocha wa Uganda alishawahi kusema tatizo la Tanzania, badala ya kuwafundisha watu mpira, tunawajaza HAMASA! tukitegemea hamasa, tambo ndio zitatusaidia?!!ie tena huyo julio ndio hakuna kitu kabisa, yeye ni kulalamika tu, mambo ya nugaz, "AFE BEKI AFE KIPA HAWATOKI",Hatuwezi kuwa na makocha wanaotegemea kukanyaga mafuta ili kupata ushindi , hii timu ya vijana sina hakika kama inaweza kupata hata goli kwenye michuano hii , achilia mbali kupata ushindi...
Mimi nashangaa hii timu kocha alikuwa zuberi katwila,ilikuwaje akapewa janhuri kihwelu?Hatuwezi kuwa na makocha wanaotegemea kukanyaga mafuta ili kupata ushindi , hii timu ya vijana sina hakika kama inaweza kupata hata goli kwenye michuano hii , achilia mbali kupata ushindi...
Hili ni swali la msingi sana.Mimi nashangaa hii timu kocha alikuwa zuberi katwila,ilikuwaje akapewa janhuri kihwelu?
Hakuna, kama tifutifu wanaleta uccm kwenye soka unadhani kutakuwa na mabadiliko gani?Kuna maswali ?
CCM wame monopolize michezo, waachie gutimu gwaoHatuwezi kuwa na makocha wanaotegemea kukanyaga mafuta ili kupata ushindi , hii timu ya vijana sina hakika kama inaweza kupata hata goli kwenye michuano hii , achilia mbali kupata ushindi .
Jamhuri hana uwezo wowote ule wa kufundisha soka kwenye michuano ya kimataifa , hivi ni nani alimpa hii kazi ? hadi dk 90 Tanzania 0 - 4 Ghana
Napendekeza TAKUKURU kuchunguza kitengo cha ajira TFF