Baada ya U20 kuaibishwa kwa kichapo cha Mbwa mwizi huko Mauritania, Jamhuri Kihwelu afukuzwe haraka

Baada ya U20 kuaibishwa kwa kichapo cha Mbwa mwizi huko Mauritania, Jamhuri Kihwelu afukuzwe haraka

Tanzania hatuna vipaji vya mpira wa miguu, tunaupenda tu, lkn hakuna vipaji kabisa, mtalaumu makocha bure
Hapana vipaji vipo,hiyo timu vijana iliyofungwa ilikuwa na wachezaji 4 wanachwza mpira wa kulipwa nchi za ulaya,sasa wangekuwa hawana vipaji wangeendaje huko?
 
Tatizo kubwa kwenye michezo ya Tanzania viongozi wa vyama vya michezo hawana nia na mipango madhubuti ya kukuza michezo Bali wapo kukuza maslahi yao
Nchi ndogo kama Senegal, guinea, Mali , Cameroon,Ghana,Ivory Coast , Zambia zinatamba Soka la afrika kila miaka toka tumepata akili za kufuatilia soka Lakini kwetu ni kufungwa tu.
Riadha mpaka jirani zetu wa nchi ndogo ya burundi wametoa mabingwa wa dunia na olimpiki
 
Back
Top Bottom