Tatizo kubwa kwenye michezo ya Tanzania viongozi wa vyama vya michezo hawana nia na mipango madhubuti ya kukuza michezo Bali wapo kukuza maslahi yao
Nchi ndogo kama Senegal, guinea, Mali , Cameroon,Ghana,Ivory Coast , Zambia zinatamba Soka la afrika kila miaka toka tumepata akili za kufuatilia soka Lakini kwetu ni kufungwa tu.
Riadha mpaka jirani zetu wa nchi ndogo ya burundi wametoa mabingwa wa dunia na olimpiki