Mahindi ya Tz,
Mboga na vitunguu Tz,
Gesi ya kupikia Ugali na mboga Tz,
Na ukimaliza unywe Juisi ya machungwa ama Maembe ya Tz.
Mnacheka cheka tu na mzee wa chato mnafikiria eti yeye ni mlevi kama jitu hilo lenu. Mnaingia mkenge
Uzuri wa hii gas itakuja Kenya kwa kutumia pipe, sio ndani ya mitungu,(Not compressed), kwahiyo ni cheap Sana, pia itatumika moja kwa moja viwandani, Majumbani na katika migodi kwa kufungua koki za gas, kama jinsi MAJI yanavyotoka. Muhimu zaidi ni katika matumizi ya magari ya petroli, hivyo nchi itapunguza sana kuagiza Petrol, Diesel na gas tuko Uarabuni , kumbuka mambo haya ndiyo yanakusanya 70% ya matumizi ya pesa za kigeni na kuongeza gharama za uzalishaji katika hizi nchi zetu.Ehehehe watupe sisi mahindi kisha watupe gesi. Wataringa sana
Kaongea ukweli mchungu kwani urongo?Clear Tanzanian, thats obessed with Kenya
Naye Kenyatta kaja kuhakikisha mipaka mnafungua tuje kuchuma hela...twaja very soon uepende usipende.Museven alisema mwenyewe kilichomleta, yeye alikuja kuhudhuria Hijja. Tanzania ni eneo takatifu "Politically" hapa Africa.
Una passport?Naye Kenyatta kaja kuhakikisha mipaka mnafungua tuje kuchuma hela...twaja very soon uepende usipende.
Tangu 2004 and have traveled to more than 10 countries in Africa more than you could ever dream off. Wewe niambie ushaikuea Nchi gani nje ya Tz nikuabishe hapa JF....bure kabisa.Una passport?
Sijamsikia, Uganda is another LDC relying on Kenya for it's imports.Kaja kuhiji,au hujamsikia mwenyewe?
Mimi nimetembelea Malawi, Zambia na South AfricaTangu 2004 and have traveled to more than 10 countries in Africa more than you could ever dream off. Wewe niambie ushaikuea Nchi gani nje ya Tz nikuabishe hapa JF....bure kabisa.
Few Countries if I should say...umekuwa wapi SA?Mimi nimetembelea Malawi, Zambia na South Africa
Cape TownFew Countries if I should say...umekuwa wapi SA?
Describe the streets in one minute kabla googleCape Town
Wewe ulishafika Cape Town?Describe the streets in one minute kabla google
Ehehehe watupe sisi mahindi kisha watupe gesi. Wataringa sana
[/QUOTEhatuwezi kukubali mfe njaa tuta wapa msaada wa mahindi gas Wakenya wengi hamjui kutumia tutawaa elimu kwanza
"Politically" Kama wanaanchi wake wanauawa SA? Nipatie statistics za Wakenya wanaopitia ubaguaji wa kuuwawa SA Kama Tz...nitaresign JF.Museven alisema mwenyewe kilichomleta, yeye alikuja kuhudhuria Hijja. Tanzania ni eneo takatifu "Politically" hapa Africa.
Hueleweki unanipotezea "network"."Politically" Kama wanaanchi wake wanauawa SA? Nipatie statistics za Wakenya wanaopitia ubaguaji wa kuuwawa SA Kama Tz...nitaresign JF.
Network Tz is that poor? Si ukubali Safcom ije iboost your internet.Hueleweki unanipotezea "network".
Leta takwimu za wa Tz waliouliwa"Politically" Kama wanaanchi wake wanauawa SA? Nipatie statistics za Wakenya wanaopitia ubaguaji wa kuuwawa SA Kama Tz...nitaresign JF.
Hata hajui analozungumza hiyo, sasa kuna uhusiano gani ya Tanzania kuwa ni ardhi takatifu na mauaji yaliyotokea SA?. Hajielewi.Leta takwimu za wa Tz waliouliwa
Hili nalo litabuma... Tatizo ni mwalimu mkuuπ π π wazee wa fursa!...