Baada ya Uhuru kumtembelea Magufuli Chato, sasa gesi ya Tanzania itaelekezwa kuja Kenya

Baada ya Uhuru kumtembelea Magufuli Chato, sasa gesi ya Tanzania itaelekezwa kuja Kenya

Lkn tutaendelea kuwauzia tooth pick na vijembe mpka mjishtukizie
Mahindi ya Tz,
Mboga na vitunguu Tz,
Gesi ya kupikia Ugali na mboga Tz,
Na ukimaliza unywe Juisi ya machungwa ama Maembe ya Tz.
Mnacheka cheka tu na mzee wa chato mnafikiria eti yeye ni mlevi kama jitu hilo lenu. Mnaingia mkenge
 
Ehehehe watupe sisi mahindi kisha watupe gesi. Wataringa sana
Uzuri wa hii gas itakuja Kenya kwa kutumia pipe, sio ndani ya mitungu,(Not compressed), kwahiyo ni cheap Sana, pia itatumika moja kwa moja viwandani, Majumbani na katika migodi kwa kufungua koki za gas, kama jinsi MAJI yanavyotoka. Muhimu zaidi ni katika matumizi ya magari ya petroli, hivyo nchi itapunguza sana kuagiza Petrol, Diesel na gas tuko Uarabuni , kumbuka mambo haya ndiyo yanakusanya 70% ya matumizi ya pesa za kigeni na kuongeza gharama za uzalishaji katika hizi nchi zetu.
 
Museven alisema mwenyewe kilichomleta, yeye alikuja kuhudhuria Hijja. Tanzania ni eneo takatifu "Politically" hapa Africa.
Naye Kenyatta kaja kuhakikisha mipaka mnafungua tuje kuchuma hela...twaja very soon uepende usipende.
 
Una passport?
Tangu 2004 and have traveled to more than 10 countries in Africa more than you could ever dream off. Wewe niambie ushaikuea Nchi gani nje ya Tz nikuabishe hapa JF....bure kabisa.
 
Tangu 2004 and have traveled to more than 10 countries in Africa more than you could ever dream off. Wewe niambie ushaikuea Nchi gani nje ya Tz nikuabishe hapa JF....bure kabisa.
Mimi nimetembelea Malawi, Zambia na South Africa
 
Museven alisema mwenyewe kilichomleta, yeye alikuja kuhudhuria Hijja. Tanzania ni eneo takatifu "Politically" hapa Africa.
"Politically" Kama wanaanchi wake wanauawa SA? Nipatie statistics za Wakenya wanaopitia ubaguaji wa kuuwawa SA Kama Tz...nitaresign JF.
 
"Politically" Kama wanaanchi wake wanauawa SA? Nipatie statistics za Wakenya wanaopitia ubaguaji wa kuuwawa SA Kama Tz...nitaresign JF.
Leta takwimu za wa Tz waliouliwa
 
Back
Top Bottom