Baada ya ukweli kuhusu sakata la Bernard Morrison 'Kuvuja', huenda Yanga SC 'ikanyang'anywa' alama zake na viongozi wake kufungwa na kukamatwa

Utopolo wameanza kulia lia,kelele za mbwa koko kubweka hazidum
 

GENTAMYCINE nakukubali sana mpwa[emoji120]
 
Kama kweli na mchezaji atatiwa hatiani kwa nini aweke saini mkataba ambao tarehe yake siyo ya ukweli??
 
Hapo Yanga, Mchezaji na TFF wenyewe wana stahili adhabu...............na inaonekana hili litapita kimyakimya.
 
Hakuna Simba bila yanga, na hakuna Yanga bila Simba.

Ukimuua Yanga, umemuua Simba, na kinyume chake ndiyo ukweli.

Labda kama kuna kosa, litaishia kwenye Faini peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…