Kumbe Nyani haoni kundure.Na 'nazivuta' kweli kweli ndiyo maana unaona hata uwezo wangu wa 'Kufikiri' na 'Akili' unazidi wa 'Koo' zako zote mbili za kwa Mama na Baba yako.
Una maanisha nini mpwa?
Morisson kawagaraza UTOPOLO nasikia[emoji3]
Kumbe Nyani haoni kundure.
Acga matendo ya seme zaidi ya kujitapa kwa mambo ya kifara.
Unauliza Uume Ukeni Mkuu? Kazi imeshamalizika huko na muda wowote 'Kamati' inaenda kutuwekea Mambo 'Hadharani' ili Yanga SC 'Moto' uwake.
Nasubiri uhakika zaidiNasikia Simba tumeangukia pua, dah hapa Mwamwedi katuhalibia tu mood yetu. nitaaambia nini wale nilikua nawalingia sasa.
Hahahaha, nakuelewa sana Mpwa ,huwa nakufuatilia vzr tuSijawahi hata Siku moja 'Kukubalika' na 'Wapumbavu' hapa Jukwaani. Ili uweze 'Kunielewa' yakupasa nawe pia uwe 'Umebarikiwa' mno 'Akili' Mkuu.
Labda Simba ya kwenu huko NamtumboNasikia Simba tumeangukia pua, dah hapa Mwamwedi katuhalibia tu mood yetu. nitaaambia nini wale nilikua nawalingia sasa.
Labda Simba ya kwenu huko Namtumbo
Unatatizo katika kuchambua mambo, mkataba ni baina ya pande mbili Morrison na Yanga, TFF ilikuwa inauwezo wa kutoa adhabu hapahapa kama kuna tatizo katika mkataba, na hata Morrison iweje afanye kazi wakati hajui uhalisia wa mkataba wake..Taarifa nilizozipata kutoka katika Chanzo changu 'Nyeti' zinasema kwamba kilichogundulika juu ya Sakata zima la Mchezaji Bernard Morrison ni kwamba Klabu ya Yanga 'imedanganya' kuhusu 'Mkataba' wake na kwamba hata 'Sahihi' yake pia 'imefojiwa' kinyume na Sheria. Ukweli kamili wa hili upo njiani kutolewa kwa Watanzania ili 'Wahuni' na 'Matapeli' wa Soka la Tanzania wajulikane na waumbuke rasmi.
Chanzo changu hicho Kimeendelea kusema kwamba sehemu ambayo Yanga SC 'imejikoroga' ni katika Tarehe ya Mkataba wa Mchezaji Bernard Morrison ambapo Yanga SC 'wamedanganya' Umma kuwa 'alisajiliwa' tarehe 15 na Kuuwasilisha TFF wakati Mchezaji aliwasili nchini tarehe 17 na hata Mawasiliano yake ya Email yana Ukweli wote pamoja na Tiketi yake ya Ndege.
Hivyo basi 'Adhabu' ambayo huenda Yanga SC 'ikakumbana' nayo katika 'Hukumu' inayoenda 'Kutolewa' leo ni ama 'Kunyang'anywa' Alama ( Points ), Kupigwa Faini Kubwa, Kuzuiwa Kufanya Usajili, Kushushwa Daraja, Viongozi wake Kukamatwa, Kushtakiwa na Kufungiwa kabisa. Na kama TFF wakisema walipeleke hili 'Suala' huko FIFA kuna uwezekano Klabu ya Yanga 'ikafutwa' katika ramani.
Chanzo hicho kimemalizia kwa kunielezea kuwa kumbe baada ya Uongozi wa Yanga SC hasa kupitia 'Wadhamini' wao GSM kuona kwamba wanaenda 'Kuumbuka' walienda Kutoa 'Rushwa' ya Tsh Milioni 20 TFF ili hili 'Suala' lisiende mbali lakini Uongozi Imara na wenye 'Uweledi' wa TFF ukakataa huo 'Upuuzi' na kuwaambia Yanga SC hili 'Suala' lazima lifike mwisho ili liwe Fundisho nchini.
Baada ya Yanga SC na GSM kujua kuwa 'wameshalikoroga' na Mashabiki wao hawatawaelewa wameamua 'Kuwahadaa' kwa Kufanya 'Usajili' wa aliyekuwa CEO wa Simba SC Senzo Mbatha Mazingisa huku 'wakiwadanganya' kuwa 'wanamsajili' Mchezaji Clatous Chama na akina Deo Kanda. Hii yote Yanga SC wanafanya kama kutafuta 'Huruma' kwa Mashabiki na Wanachama Wao.
Namalizia kwa kusema 'sijakulazimisha' ukubaliane na nilichokiwasilisha hapa ila Yanga SC jana walifurahi lakini leo watalia sana na Moto utawaka.
Unatatizo katika kuchambua mambo, mkataba ni baina ya pande mbili Morrison na Yanga, TFF ilikuwa inauwezo wa kutoa adhabu hapahapa kama kuna tatizo katika mkataba, na hata Morrison iweje afanye kazi wakati hajui uhalisia wa mkataba wake..
Ungukuwa Mnyarwanda ungejua Kama umetukanwa au umesifiwa we karumekenge!Kwahiyo kumbe 'Wanyarwanda' wanakukera na kukutesa sana Pumbavu Mmoja Wewe?
Fafanua zaidi mkuuSimba tumepigwa cha Mbavuuu, yaaani hata bia naona chungu *****
Kwani Morison kaitilia nini mkuuSimba tumepigwa cha Mbavuuu, yaaani hata bia naona chungu *****
Kwani Morison kaitilia nini mkuu
Morrison ni Mchezaji halali wa YangaFafanua zaidi mkuu
Simba tumepigwa cha Mbavuuu, yaaani hata bia naona chungu *****
[emoji23][emoji23][emoji23]Mashabiki wa Simba na yanga wengi ni mental victims.
Morrison ni Mchezaji halali wa Yanga