Baada ya ukweli kuhusu sakata la Bernard Morrison 'Kuvuja', huenda Yanga SC 'ikanyang'anywa' alama zake na viongozi wake kufungwa na kukamatwa

Mimi ni GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE a.k.a " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " au hili nalo ulikuwa haulijui tu?
Unafahamika na Kuku na mbuzi wako hapo kwako, huna impact katika uchumi wa nchi wewe ni NULL hapa JF
 
Kuna Vyura hapa vilikuwa vikidanganyana na kurukaruka tu!
Hii kweli ni Minyani isiyoweza hata kufikiri na kutenganisha kati ya uongo na ukweli.
 
[emoji16]
 
leo tunaendelea na kikao soon tutaleta mrejesho kwa uma
 
Akili ya mikia kota moko kalia.
 
Hii ni aibu zaidi kwa wachambuzi wa mpira mara nyingi wamekuwa hawako fair hasa kwenye ishu zinazowagusa GSM.
Wamekuwa biased sana kwenye maoni yao hasa kama GSM wamekosea.

Hawazungumzii usanii na utapeli wanaofanya GSM. Eddo Kumwembe, Kitenge, George Job na wengine mnatia aibu.
 
Uyo job namjua ni Gongowazi tangu anasoma CBE pale aliposhindwa chuo na uyo kitenge nae ni gongowazi wa kutupwa
 
Nimechaka jana, ndo nikajua kua ushabiki unaondoa akili kabsa, Juzi Yeye baada ya Senzo kujiuzulu aliandika sababu zilizosababisha ajiuzuru Simba. Na sababu zote anasema Simba wanaendesha klabu bila ueledi. Afu anakuja kumuhoji Manara anamuuliza Kwa nini Senzo ameondoka? Manara akamjibu we si unazijua sababu na uliandika jana kwenye page yako. Je wewe zile sababu alikuambia Senzo akajibu hapana ni watu tu wanaongea.
Ushabiki umeondoka na weledi wa Kitenge
 
Unauliza Uume Ukeni Mkuu? Kazi imeshamalizika huko na muda wowote 'Kamati' inaenda kutuwekea Mambo 'Hadharani' ili Yanga SC 'Moto' uwake.

Na iwe ivyo kamati itoe haki kwa mujibu wa sheria na kanuni...
Wasilete uyanga na usimba watoe haki kwa mujibu wa kanuni na sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…