Baada ya ukweli kuhusu sakata la Bernard Morrison 'Kuvuja', huenda Yanga SC 'ikanyang'anywa' alama zake na viongozi wake kufungwa na kukamatwa

Huyo kitenge anawakilisha kundi kubwa la watangazaji makanjanja wanashindwa kubalance story wanatengeneza umbea halafu wanawajaza pumba mashabiki
 
Jambo hili ni kubwa kuliko tunavyofikiri. Ni doa kubwa sana kwenye ramani ya soka la ulimwengu na Jamii
 
Jambo hili ni kubwa kuliko tunavyofikiri. Ni doa kubwa sana kwenye ramani ya soka la ulimwengu na Jamii

Uko sahihi kwa 100% Mkuu na kuna 'Uzi' mpya nimeuanzisha muda si mrefu juu ya Sakata zima na kwanini linacheleweshwa hivi. Utafute uupitie.
 
Tupo kwenye harakati za kuingoa ccm madarakani kwanza,huku tutakuja baadae
 
Kumbe MUME ndio mhimili eeh, huku kwa wananchi tunachanga...Mo nyie bakieni naye.

Ila kama vichwa vinafanya kazi vizuri (na sio kuvunja viti mode), basi mkumbuke kuwa huyu huyu Morisson ndio alituambia rais wa klabu yenu ya Mbumbmbu FC amemtumia $10k, lkn kwake zimefika 5
 
Mchezo huu hautaji hasira, hebu tulieni dawa iwaingie! Mtatukana saana , mtashindana sana lakini hamtashinda! Mtapata taabu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…