Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamechelewa mno kuujua huo uhalisiaUSELESS: Kyiv residents left a message for the UN by tagging the organisation's vehicles that have been parked in the centre of Kyiv.
View attachment 2650055
Waazime jesh la Tanzania kwenda kuizuia us au urus isitumie nuke???Hizo missions wanazofanya DRC na maeneo mengine wanapataje Jeshi?
Wangetumia njia hizohizo kupata Jeshi!
Sasa kama haina uwezo kazi yake nini?Waazime jesh la Tanzania kwenda kuizuia us au urus isitumie nuke???
Ndio ushangae sasa kwa nin hawawez kuzizuia big5 kufanya wanavyojisikia kuanzia uvamiz wa Iraq mpaka leo tupo UkraineSasa kama haina uwezo kazi yake nini?
Kuundwa kwa UN kipindi hicho ikiitwa UNO ilikuwa ni kuzuia isitokee vita baada ya WW2.
Kama imeshindwa kumuwajibisha Russia angalau wangemsimamisha au kumfuta uanachama ili kuonyesha kuwa pamoja na Ukraine.
Badala yake Russia ndio kapewa uraisi kwa kipindi hichi ambacho kunasitofahamu nyingi!
Iraq ilikuwa threat kwa mwanachama mwingine WA UN baada ya kuivamia Kuwaiti.Angalau marekani aliomba kibali na kujenga hoja, Putin kavamia TU kihuni bila kujadili .Ndio ushangae sasa kwa nin hawawez kuzizuia big5 kufanya wanavyojisikia kuanzia uvamiz wa Iraq mpaka leo tupo Ukraine
Inaonyesha hujapata taarifa sahih kuhusu uvamiz wa us na washirika wake nchini IraqIraq ilikuwa threat kwa mwanachama mwingine WA UN baada ya kuivamia Kuwaiti.Angalau marekani aliomba kibali na kujenga hoja, Putin kavamia TU kihuni bila kujadili .
Kama angeona kwamba Ukraine ni threat Kwake angepeleka madai kwenye baraza la usalama.
Alichofanya Putin ni uvamizi ndio alijifanya anaanza mazoezi ya kijeshi mpakani Mwa Ukraine, baadae akaingiza vifaru akiita special ops na Sasa imekuwa ni vita kamili!
UN ni kama ilivyo AU AfricaUSELESS: Kyiv residents left a message for the UN by tagging the organisation's vehicles that have been parked in the centre of Kyiv.
View attachment 2650055
Kwamb unabisha Iraq hakuivamia kuwait au unabisha iraq hakuivamia iran au unabisha USA hakuomba kibali UN ? Je Urusi alitumia kigezo gan kuivamia Ukraine ? Ukumbuke ww sio mrusi so mahaba yatakutia uchiz simamia ukwelInaonyesha hujapata taarifa sahih kuhusu uvamiz wa us na washirika wake nchini Iraq
Je,US alipata hicho kibali cha UN?Maana sababu iliyotolewa na US hukl UN,ilikuwa Iraq kuna weapons of mass destruction(WMD)!UN wakapeleka wachunguzi na wakarudi na report kuwa hakukuwa na hata harufu ya silaha hizo!US akavamia hivyo hivyo kwa mabavu na silaha hizo hakuzikuta!Kwamb unabisha Iraq hakuivamia kuwait au unabisha iraq hakuivamia iran au unabisha USA hakuomba kibali UN ? Je Urusi alitumia kigezo gan kuivamia Ukraine ? Ukumbuke ww sio mrusi so mahaba yatakutia uchiz simamia ukwel
Huko UN Urusi ana kura ya veto, hivyo lazima atazuia kila azimio linaloshutumu Vita au uvamizi.....kifupi UN kwa huu mzozo sio mrahisi kwake.USELESS: Kyiv residents left a message for the UN by tagging the organisation's vehicles that have been parked in the centre of Kyiv.
View attachment 2650055