Baada ya UN kushindwa kuchukua hatua dhidi ya Urusi hivi ndivyo mambo yalivyo huko Kyv, Ukraine

Ulitaka Iraq aachwe aendelee uonevu wake kama alioufanyav kwa Iran na Kuwait ? hiyo si ndo hoja yako , kisa hakukuwa na silaha basi ilibid Sadam aachwe ? Hv unajuwa hadi nchi zenye jamii ya kiarab zilipiga kura kuunga mkono uvamiz , unalijua hilo ? NDIO tunaichukia ila ukwel usemwe , Putin kakosea sana kuvamia Ukraine bila hata kuandaa mazingira , kwa vile ww ni mwafrik hata akil yako ipo hivyo hivyo na ndio maaa tulitawaliwa na tutatawaliwa tena sabab sisi ni kama nyumbu , kuitetea Ukraine sio kuunga Mkono matendo aliyowai fanya USA , na Makosa ya USA sio kibali cha China kuivaia Taiwan wala Urusi kuivamia Ukraine wala India Kuivamia Kashmir wala Iran kuivamia Afghanstan , kama unatetea huo ugaidi wa Putin kisa Marekan alivamia sehem fulan basu jiite msukule tu maana kichwan hazifany kaz vzr
 
Kijana unapayuka tu,huyu ni boss wa UN kipindi hicho akiwa madarakani!Wewe mnato wa buza unakuja na porojo zako!
Mimi hapa nazungumzia UN na taasisi zake kukosa credibility kwa kushindwa kuwajibisha giant countries zinapofanya uvamizi!Na ndio hoja iliyoko mezani,wananchi wa ukraine wameiita UN useless!Ndio hapo sasa nikakazia kuwa UN ipo kwa ajili ya vinchi vidogo vidogo!

The legality of the invasion and occupation of Iraq has been widely debated. The then United Nations Secretary-General Kofi Annan said in September 2004 that: "From our point of view and the UN Charter point of view, it [the war] was illegal."
 
Hivi wewe unaujua mkataba wa Minsk au unabwabwaja ukidhani humu ndani wote ni mabumunda?
 
Unaleta taarifa zaako za kishabiki uku unaona wote wajinga Tony Blair alisema mwenyewe ulikuwa uamuzi wa kijinga kabissa kuivamia Iraq ww mmatumbi unakuja leta vihoja vyakko vya kijinga
 
Hii OP umeanza kuifuatilia kuanzia lini mkuu...kama ni kuanzia Feb 25 2022 rudi nyuma kama miezi mitatu hivi...ndio utajua chanzo na utajua mbaya hapo ni nani..kama angekua ni Urusi hakika UN angeshafanya unachotamani kifanyike, na huo urais unaousema asingepewa...ukiona kapewa ujue yeye ndio anaonewa au US anajaribisha silaha zake apate soko..
 
Niruhusu mimi nimuite
 
UN ilishaaribiwa kitambo na world leader USA kwa double standard za kisenge
 
Nawe ujui kitu, ukitaka kuijua hiyo OP ludi nyuma 2008 kwa ule mkutano wa NATO uliofanyika Bucharest
 
Baraza la usalama ni marekani mwenywe, kwa kifupi UN ni marekai. Na kupeleka kesi UN ni usenge ka marekani ana maslahi na hiyo kesi
 
Kwamb unabisha Iraq hakuivamia kuwait au unabisha iraq hakuivamia iran au unabisha USA hakuomba kibali UN ? Je Urusi alitumia kigezo gan kuivamia Ukraine ? Ukumbuke ww sio mrusi so mahaba yatakutia uchiz simamia ukwel
Unachotakiwa kufahamu iraq ilvamiwa mara mbil na Bush baba mwaka 1989 au 90 na ilivamiwa tena na Bush mtoto mwaka 1993.. Na lengo kubwa la uvamizi huo ni kuwa Sadam Hussein alikuwa tishio kubwa kwa usalama wa Israeli. Full stop, hizo nyingine ni hadithi tu za linacha
 
UN kwanini inamwachia Israeli aendeleze uwonevu wake kwa palestina

Nimecheka jana baada ya makamu wa rais wa marekani kutembelea saudia baada ya kupata hofu saudia kutaka kujiunga na BRICS.
Waziri wa mambo ws saudia na kumjibu kuwa wanataka kuona solution kati ya palestina na Israel kuwa na matsifa mawili yenye haki sawa
 
HAMUWAJUI WAZUNGU, NA HILI NDO TATIZO LETU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…