Baada ya ‘unsafe sex’ wanawake wengi hawajutii

Baada ya ‘unsafe sex’ wanawake wengi hawajutii

Daah mimi ilishawahi kunikuta aisee manzi kawekwa mtu kati kavua hadi pichu aisee kila kitu kiko mkao wa kula nikapeleka zigo mlangoni sijui nikasanuka nini bn kabla sijazama ndani nikawazia ndomu, ile navaa tu akafumbua macho kuona ndomu eti akaleta stori mob sijui ako na allergy na mafuta ya ndomu mara nn aah nikaona bora nighairi kipindi aisee

Mimi sio muumini wa ndomu ila daah alinitisha nikaacha kabisa ani[emoji23][emoji23]
Ako na mob ndio kiswahili cha wapi?!
 
Inaonekana wanawake hata ukienda nap kavukavu wenyewe wanakuwa na uhakika hawajali Cha mimba Wala ukimwi.ukimuhitaji kavu unamnasa na ukitaka condom hawapendelei Ni Kama vile watatuua.Tunaendelea kuona wanaume wakishafanya mapenzi kavu tu maswali yafuatayo Ni je nimeambukizwa ngoma moja kwa moja asee waga tunakwama kifo Cha ukimwi sio njia nzuri wadau mnafahamu vizuri Ila tatizo wakina dada wanaona ukimwi Ni kama malaria watu wanavua bikini kwa buku tano.kaeni kimachale wadau utapewa kitu kikushinde.tumeshikwa hatuna ujanja ukiitiwa fursa ujue wewe ndo fursa kavu kavu Ni balaa.kufichinyiwa kwa ndani toba weeeeeeee!!!!
Kumbaff, hata mama yako ana tabia hii kweli mwanangu? Stop generalization.
 
msela wangu alichukua demu kufika room demu anataka taa izimwe..msela akazima kweli akavaa zana demu akawa anagoma ila msela akalazmisha hvyo hvyo ila ile harufu kwa yule dem ilimshtua jamaa!!
alivyomaliza akanyata akawasha taa..daahh demu ana bonge la kidonda limechimbika yaani kawa km ana kevu 2 afu linamwaga maji niaje room nzima inanuka..acha kbs
Aiseee imebidi niende toi maana nimepata hali ya kitapika.
 
Condom si kitu chema sana,joto la mwenzio hulioni kabisa.Ivi unajua kama site ambao ndoa zetu ni za kukutana baada ya miez kadhaa Bas Sku mkikutana ni full kumwagiana kias kwamba mbegu ya mwenzio unaisikia kabisa inatembea falopian.Kuna raha yake aisee
Yeyee..mbegu za kiume znatembea fallopian ..kumbe ndy mana kunawakati mnassmka kama vile mumepigwa shoti ya umeme..dah kumbe men are Sweet ie
 
Inaonekana wanawake hata ukienda nap kavukavu wenyewe wanakuwa na uhakika hawajali Cha mimba Wala ukimwi.ukimuhitaji kavu unamnasa na ukitaka condom hawapendelei Ni Kama vile watatuua.

Tunaendelea kuona wanaume wakishafanya mapenzi kavu tu maswali yafuatayo Ni je nimeambukizwa ngoma moja kwa moja asee waga tunakwama kifo Cha ukimwi sio njia nzuri wadau mnafahamu vizuri Ila tatizo wakina dada wanaona ukimwi Ni kama malaria watu wanavua bikini kwa buku tano.kaeni kimachale wadau utapewa kitu kikushinde.

Tumeshikwa hatuna ujanja ukiitiwa fursa ujue wewe ndo fursa kavu kavu Ni balaa. Kufichinyiwa kwa ndani toba weeeeeeee!!!!
Kwa hali hiyo ndio maana wao wanapata maambukizi kwa wingi ukilinganisha na wanaume...
 
msela wangu alichukua demu kufika room demu anataka taa izimwe..msela akazima kweli akavaa zana demu akawa anagoma ila msela akalazmisha hvyo hvyo ila ile harufu kwa yule dem ilimshtua jamaa!!
alivyomaliza akanyata akawasha taa..daahh demu ana bonge la kidonda limechimbika yaani kawa km ana kevu 2 afu linamwaga maji niaje room nzima inanuka..acha kbs
Mmhh, jamanii too disgusting 🤮🤮 alimkula kabisaa..???woiii
 
Hivi HIV inavotisha hivi kweli usijutie Unsafe Sex kweli?, tena naona nyie wanaume ndiyo mnakua tayari kwa lolote na mnamuamini mtu kwa macho huku mkiongozwa na kichwa cha chini. Wadada tupo makini kiasi kwenye hilo aisee "no ndom,no sex"
 
I second you brother, kuna limke la mtu nalikula halitakagi habari ya ndomu, sema nacholipendeaga linapendaga tupime pime yaani, taamu kavu kavu
 
Back
Top Bottom