Resurrection
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 952
- 1,267
Nina imani VP Mpango hatamuangusha Madame President. Raisi akiwa Safi na VP akiwa basi wale wachafu hawana tena nafasi ktk utawala wake time will tellWell nisingependa kuingia kwenye malumbano ya kisheria ambako siko kwangu, ila uzoefu unaonesha kuwa SIYO LAZIMA every incoming new president aanze au ateue baraza la mawaziri lake. It is rightly assumed kuwa kwenye uteuzi wa haya mabaraza ya mawaziri, Rais mara nyingi, kama sio zote, huwa akishauriana na Makamu wake , so it is assumed! Tusubiri tuone hiki mnachosema na kutafsiri nyie wasomi wa sheria.
Kaisome Tena utaelewa.Na iko wazi hata kwa darasa la 7b kuelewa.Maelezo yako yatabaki kuwa batili kwasababu Katiba imetaka hayo yafanyike endapo tu, Rais amepatikana kwa njia ya uchaguzi.
Utabiri umetimiaKwa kumteua Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni ishara muhimu ya kuonesha kuwa Madam President Samia Suluhu Hassani, atakuwa Rais wa namna gani.
Kumbukumbu zinaonesha kuwa Dkt. Philip I. Mpango ni mtu safi na mwadilifu.
Hana makando kando yanayoweza kuwa mjadala. Kama kuna makosa fulani fulani aliyatenda ktk kipindi chote cha uwaziri wa fedha, itakuwa ni kwa sababu ya nature ya uongozi wa boss wake aliyekuwa anafanya nae kazi Mwendazake Pombe.
Binafsi sioni kama ni Rais atakayefuata nyayo za Mwendazake Hayati Pombe ambaye kila mtu anajua sifa zake, kuwa, alikuwa Rais asiyeambilika wala kushaurika , mwoneaji, katili na hakuona shida kumwaga damu ya wakosoaji wake.
Ni wazi kabisa kuwa, Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kuchukuliana na viongozi wenye tabia na hulka za mwendazake.
Viongozi kama DC wa Hai Ole Sabaya; DC wa Arumeru Jerry Muro; aliyekuwa RC wa DSM Paul Makonda a.k.a Daudi Albert Bashite; RC wa Mbeya Chalamila, RC Iringa Ally Hapi na wengine kibao wanaofanana na hawa, hawana chao tena.
Wanaodhani kuwa hawa wanaweza kupata nafasi ya uongozi ktk utawala wake, wafikiri mara mbili mbili.
Hata hizi nafasi za uongozi wanazoshikilia kwa sasa, ni suala la muda tu kuwa wataziacha na kurudi walikotoka..
Tukumbuke kuwa, siku zote mpanda ngazi huwa ni lazima ashuke.
Wataalam wenye macho makali, kongole nyingi kwako.Kwa kumteua Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni ishara muhimu ya kuonesha kuwa Madam President Samia Suluhu Hassani, atakuwa Rais wa namna gani.