Baada ya uteuzi wa Stagomena Tax, ni wazi Prof. Kitila Mkumbo anaenda na Maji

Baada ya uteuzi wa Stagomena Tax, ni wazi Prof. Kitila Mkumbo anaenda na Maji

Pagan Amum

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
1,932
Reaction score
4,403
Wizara ya Viwanda na Biashara apart from Dr. Abdalla Kigoda, Na Dr. Chami ni wazi haijapata mtu sahihi. Hasa awamu ya tano na sita. Kwa awamu ya tano, Mh. Mwijage zile kelele zake za kuanziasha viwanda alionekana bora. ila baada ya hapo wizara haijapata mtu sahihi na makini kabisa.

Prof. Kitila uteuzi wake ulionekana bora ila ni wazi hakuna mtu ambbaye ameboronga sana katika wizara hiyo kama Kitila....

Uteuzi huu wa leo wa Tax kuwa Mbunge wa kuteuliwa, ni wazi nafasi ya Kitila inaenda kuchukuliwa. Na litakuwa jambo bora sana sana. Kitila kafail teribbly katila hiyo wizara. Hana jipya, kachoka wakati bado ni asubui na safari ndio kwanza inaanza.

Asante Mama kwa kuliona hilo.
 
Simpendi Kitila tangu tukiwa Chuoni kutokana na unafiki wake!

Ila hoja zako ni dhaifu sana kuwa eti kafeli Kama Wizuri wa viwanda .Unampima kwa mizani gani Wizara ya Viwanda, Kilimo na wengne ni anguko lq CCM, wala sio tatizo la mtu mmoja
 
Kwani Kuna waziri anayemudu wizara yake kwa Sasa?

Huyu wa foreign tulitegemea atakua jembe kumbe Yuko pale kuwatisha wazungu wasisikilize kesi ya Mbowe.

Finance Kuna the worst finance minister after Nkuya.

You can't steal an election and be a good minister
 
Kwa kuwa jina lake ni TAX basi apewe wizara ya fedha labda utabuni njia mbadala za kukusanya TAX ili tuondokane na tozo za miamala.
 
Kwani Kuna waziri anayemudu wizara yake kwa Sasa?
Huyu wa foreign tulitegemea atakua jembe kumbe Yuko pale kuwatisha wazungu wasisikilize kesi ya Mbowe.
Finance Kuna the worst finance minister after Nkuya.
You can't steal an election and be a good minister
Umesema ukweli hata ukicheki vizuri sijaona waziri ambae anafanya vizuri sijajua tatizo ni nini.Kuanzia kwa kiranja wao mkubwa ni matamko tu ambayo hayatekelezeki
 
Mi meota waziri wa TOZO mpyaa ndo anapishaaa manake jina Tax linalandana na wizara ya Fedha

Anyway all the best Stagomena Tax
 
Watajua wenyewe buana , mtu katoka huko SADC miaka nane bado tena anapewa shavu tatizo masisiemu hakuna watu wengine wa kuwajaribu
 
Wizara zote zifunguliwe abaki Ummu Mwalimu wa Tamisemi na Juma Aweso wa Maji, wasaidiane kuendesha wizara zote, period
 
Akitemwa anaweza kwenda kupiga chaki au kurejea nyumbani kwao ACT huenda akapata ulaji Zenj.
 
Kitila hana idea kabisa na masuala ya biashara
Wampanguse tu huko

Ova
 
Ni kati ya wizara nyeti sana katika kukuza uchumi wa nchi hivyo inahitaji mtu mwenye uelewa, maono, mikakati chanya/madhubuti na exposure ya kutosha. Kwa sasa imepwaya kiaina.
 
Simpendi Kitila tangu tukiwa Chuoni kutokana na unafiki wake!
Ila hoja zako ni dhaifu sana ...kuwa eti kafeli Kama Wizuri wa viwanda .Unampima kwa mizani gani...Wizara ya Viwanda ,Kilimo na wengne ni anguko lq CCM,Wala sio tatizo la mtu mmoja
Rais wangu wa DARUSO huyo
 
Bashe apewe wizara,Ummy abaki na Jumaa Aweso.Hao wengine ni wachumia matumbo sioni wanachotupigania sisi raia wa 'inji' hii.
 
Simpendi Kitila tangu tukiwa Chuoni kutokana na unafiki wake!
Ila hoja zako ni dhaifu sana ...kuwa eti kafeli Kama Wizuri wa viwanda .Unampima kwa mizani gani...Wizara ya Viwanda ,Kilimo na wengne ni anguko lq CCM,Wala sio tatizo la mtu mmoja
Swali fikirishi je tuna mfumo maalumu wa kiuchumi 'Tanzania Economic Structure'
 
Back
Top Bottom