Baada ya Utopolo kuachia ubingwa soka likaanza kunawiri

Baada ya Utopolo kuachia ubingwa soka likaanza kunawiri

Umeshajibiwa . Kuwapeleka uto viti maalumu CAF. Kwahiyo huridhiki na hilo jibu? Tangu uzaliwe ulikuwa umeshawahi kuona Tz inapeleka timu 4 mashindano ya CAF? Hayo tayari ni mafanikio.
mbumbumbu onesha mafanikio ya simba kimataifa izo tantalila za kuwapeleka kimataifa zinahusiana vipi? Km hamuna cha kuonesha kimataifa ni bora mkaufyata kuliko kuonesha umbumbumbu wenu humu jukwaani
 
Mbumbumbu fc mna shida sana. Mnawashwa washwa na mafanikio makubwa ya Young Africans.
 
mbumbumbu onesha mafanikio ya simba kimataifa izo tantalila za kuwapeleka kimataifa zinahusiana vipi? Km hamuna cha kuonesha kimataifa ni bora mkaufyata kuliko kuonesha umbumbumbu wenu humu jukwaani
Huo muda wa kumtajia mteja wa kocha Luc Eymeil mafanikio ya simba unatoka wapi? Iko wazi , usukuleni mwenye akili ni Sunday na JK kwa mjibu wa utafti wa Haji Manara.
 
Viongozi wa utopolo, benchi la ufundi na wachezaji wanakaa na kuamua wasipite geti rasmi kuingia uwanjani, sasa klabu kama hiyo itakupeleka wapi.
Makolo FC kule Tabora game na KMC walipitia geti rasmi?
 
Huo muda wa kumtajia mteja wa kocha Luc Eymeil mafanikio ya simba unatoka wapi? Iko wazi , usukuleni mwenye akili ni Sunday na JK kwa mjibu wa utafti wa Haji Manara.
Wewe kanjanja unazunguka zunguka nini? Kama huwezi kuonesha mafanikio ya simba kimataifa ficha umbumbumbu wako
 
Back
Top Bottom