Baada ya Utopolo kuachia ubingwa soka likaanza kunawiri

Utopolo ndo timu inaongoza kuhonga timu pinzani na marefa...wakienda kimataifa mechi ya kwanza tu wanapigwa nje ndani
 
Wakashindwa hadi na Rayon sport ya Rwanda
Hapo Manji kasepa na wachezaji hawalipwi, hakukua na namna yoyote ile timu ingefanya chochote cha maana. Kusingekua na msuguano wa manji na magufuli nadhani historia ingekua tofauti. Hata mechi na usm alger wachezaji walibembelezwa kwenda kukamilisha ratiba maana hawakuwa wakilipwa.
 
Pole...Kwa Jinsi ulivyozipanga ' excuses' hapa....nilifikiri jamaa Katunga Kwamba Rayon Sport naye aliwagegeda...!
Hata hivyo hukuwa na sbb, Maana Yanga ni Timu isiyo na Historia Kubwa 'KIMATAIFA'
 
Pole...Kwa Jinsi ulivyozipanga ' excuses' hapa....nilifikiri jamaa Katunga Kwamba Rayon Sport naye aliwagegeda...!
Hata hivyo hukuwa na sbb, Maana Yanga ni Timu isiyo na Historia Kubwa 'KIMATAIFA'
Jifunze kutofautisha facts na excuses. Sio rayon tu, yanga hiyo ilitoka sare na mbeya city huku benchi wakiwepo wachezaji wawili tu, na haikua na sub ya kipa. Yanga ilipitia magumu mengi. Unless upo kishabiki ila ukweli upo wazi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…