Wengi tulijua hawatodumuNdikumana alikosea sana kuoana na Uwoya sijui aliwaza nini.. Kwa anayemfahamu Uwoya atathibitisha hii kauli yangu
Kimya ni jibu zuri sn la kumjibu mjingaHamna kitu kibaya kama mashindano, mara vijembe hayo ni mambo ya kitoto mnoo!!! Kimya ni jibu tosha
Kweli tu hatuna mchezo mchezoWanaume weusi hawajawahi kumwacha MTU salama.
Nachukia Sana Mapenzi Ya Kushindana AitheeNdiku akubali matokeo kua Irene amemove on
MmmhYan nataft fursa kwako, pm yako imejaa txt zangu ila hujibu
Kabisa mkuu, tabia ya kujibizana bwana ni kujidhalilisha tuuKimya ni jibu zuri sn la kumjibu mjinga
Hahaahahha basi tena,halafu uzuri mtt wake hajachukua sura ya baba[emoji41] japo ni baby boyAlikua anacheza Cyprus huko timu ya kawaida tu. Sema ulimbukeni ukamfanya ajue Bonge la timu kumbe ni kama kinamsuva tu.
Mweeeh nimechekaNahisi Irene alivyosikia ndiku mwanasoka wawapi huko sijui,akahisi ni wa viwango vya kina drogba enzi hizo au etoo akajua pesa IPO,.loooh kumbeee.....
Ili iweje?Walifunga ndoa Mwaka gani na wameachana Mwaka gani
Dada mambo?MaKu