Baada ya Uwoya kuonekana ameolewa, mume wake ajibu mapigo

Baada ya Uwoya kuonekana ameolewa, mume wake ajibu mapigo

Huwa sipendi kukument kwenye thread zinazozungumzia kuvunjika kwa mahusiano, sijui hata ni kwa nini.

Ila jamaa angejielewa akakaa kimya kabisa, tena ikibidi achukulie positive aendelee na maisha yake, amhudumie mtoto na awe anakuja kumchukua, angeweza kuwin back au kuendelea na maisha vizuri.

Naamini hata Uwoya amelazimisha kuolewa (kama kweli ameolewa, maana unaweza kuta ni shooting) kuonesha amemove-on.
 
Ila bongo movie wanajua kuua vipaji huyu msakata kabumbu naye amekua mzee wa vijembe! ila inaumwa kupokonywa mke doh,
 
Alikua anacheza Cyprus huko timu ya kawaida tu. Sema ulimbukeni ukamfanya ajue Bonge la timu kumbe ni kama kinamsuva tu.
Hahaahahha basi tena,halafu uzuri mtt wake hajachukua sura ya baba[emoji41] japo ni baby boy
 
Kama ni kweli hicho alichofanya Ndiku ni tabia ya kike kabisa
 
Ila ndikumana aliingia cha kike,ile harusi iligharimu kama 50 ml kwa kweli kipindi kile ndiku alikuwa na mihela
 
Muacheni apumzike kwa amani. Katangulia huyo leo alfajir. Hakuugua!
 
Back
Top Bottom