Baada ya V8 kusitishwa picha mpya za Toyota land cruiser zavuja

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Inakuwaje wanajamvi!

Kama mjuavyo Toyota land cruiser 200 series (viieite) wamesitisha utengenezaji kabisa. Sasa hivi utengenezaji utakuwa wa 300 series na picha zimeshaanza kuvuja itakavyokuwa.

Sijapendezwa na Hizi picha kwasababu body itapunguzwa upande wa juu utashuka kidogo.

Ila engine itakuwa na nguvu pia high performance. Pia itakuwa hybrid.
 
 
Manina
 
Ila kwa sisi wazee wa chocho zitatuzuia kutimba maana kuna sehemu hizi za wanazofuta sokoni inatulazimu kufunga site mirow
 
Hujapendezwa wew kama nan.mnunuaj au mpenZ mtazamaj na mshabik
Mnunuaji chalii yangu. Kwasababu nilikuwa na mpango wa kuzinunua kama mia hivi ila nimesita kidogo ngoja tusubiri tuzione kwa macho
 
Kali sana...

Mwisho mwaka gani kutengeneza v8 nataka miaka ya mbeleni ninunue used
 
Kidogo kaiba kwa hasimu wake Nissan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…