Baada ya V8 kusitishwa picha mpya za Toyota land cruiser zavuja

Baada ya V8 kusitishwa picha mpya za Toyota land cruiser zavuja

Inakuwaje wanajamvi!

Kama mjuavyo Toyota land cruiser 200 series (viieite) wamesitisha utengenezaji kabisa. Sasa hivi utengenezaji utakuwa wa 300 series na picha zimeshaanza kuvuja itakavyokuwa.

Sijapendezwa na Hizi picha kwasababu body itapunguzwa upande wa juu utashuka kidogo.

Ila engine itakuwa na nguvu pia high performance. Pia itakuwa hybrid. View attachment 1695573View attachment 1695574View attachment 1695575View attachment 1695576View attachment 1695577View attachment 1695578
Hivi Toyota na Tecno wana undugu ama..!!?
 
Hawa Wajapan wataitawala Dunia mpaka mwisho,
Wakati wenzetu wanavumbua vitu vikali,sisi kwetu viongozi kila siku,wakitaka wapate attention ya wananchi,utasikia,huyu kateuliwa,Yule katumbuliwa,vitisho kila kona,
We Raisi wa nchi anatunishiana misuli na Mtumishi wa halmashauri!!?uliona wapi?
 
Jiwe ni hovyo kabisa na reject hamba anachofanya ikulu
 
Back
Top Bottom