Weka link ya kideo mzee babaNmefurahi sana baada ya Mandojo na Domokaya kuamua kufanya video ya wimbo wao wa nikupe nini. Wimbo unazaidi ya miaka 19 ila bado unaishi,
Kwa kuutengenezea video leo itasaidia kuwaingizia kipato. Maana muziki wa sasa pesa, siyo mpaka kufanya tamasha tu.
Pia itawajengea kufahamika na kizazi cha sasa ambao wakati wimbo unatamba hawakuwa na ufahamu.
Shauku yangu na tamaa yangu kubwa sasa ni kuona Mbunge wa Muheza Mwana FA na yeye anaufanyia video wimbo wake wa "Ingekwa vipi" aliyomshirikisha mtunzi wa rap ya kisasa ya muda wote Tanzania Jaymoe.
Ni hilo tu!
Mambo ya SPIDER.
Heller wamepata kutoka kwa Raymond Thomas Dalio -A Hadge Fund Manager na Kwa Angel Investor Paul Graham.Heller ya Video wamepata wapi wakati wanefulia
Mitaa yangu enzi za childhood, sasahivi home ndio wamejenga JNICCMambo ya SPIDER.
Nakazia. Huu kwangu ndio wimbo bora wa Diamond. Sijui kwa nini hawakufanya video.Diamond afumbe macho atuletee video ya "Ukimuona".....
Kipindi kile ulikuwa gangstar kabla ya sasa kuachana nao wenyewe bado wapo maisha yaleWimbo classic sana kinachosikitisha video ya kisingeri singeri ugangstar mwingi tulitegemea kuona misuti kama yote yani uclassic furani hivi Bora wasingetoa video hawajaitendea haki
Hapo ndio wamechemka inatakiwa wajue hadhi ya wimbo wao upoje Sasa vile dahKipindi kile ulikuwa gangstar kabla ya sasa kuachana nao wenyewe bado wapo maisha yale