Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wanabodi,
Nadhani wote tuliona kuwa ubalozi wa Marekani ulitoa tamko kuhusu utekaji na kuuwawa kwa aliyekuwa kada wa CHADEMA Ali Mohamed Kibao.
Siku ya leo viongozi wa CHADEMA ikiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu walikamatwa na Jeshi La Polisi pindi wakiwa mbioni kuongoza maandamano hayo.
Je tutegemee ubalozi wa Marekani, kutoa tamko kama lile walilolitoa baada ya kifo cha Ali Kibao kulaani kitendo hicho cha Jeshi la Polisi?
Soma Pia: Rais Samia Kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu
Au ndo wataogopa baada ya maneno kutoka kwa mwanakizimkazi kuwa tunachojua tunachokifanya,, msituingilie