Baada ya Virungu, Serikali kuwalipa fidia wanafunzi UDOM

Baada ya Virungu, Serikali kuwalipa fidia wanafunzi UDOM

kwahiyo watu kulipwa fidia imekukera eeh!
Hao ardhi na wenyewe wakionesha msimamo kama vijana wa dom mambo yatawanyookea.

basi kama ni kulipwa fidia walipwe hata vijan wa UDSM waliopata tabu kipindi kile,kama serikali haina ubaguzi ionyeshe hivyo kwa wote waliowahi kugoma na kupoteza mali zao!mantiki iliyopo sio kukomaa bali ni chuo cha chama-CCM.
 

Kama CCM inamiliki UDOM basi CCM wako juu ile mbaya, wakati CHADEMA hata ofisi ya chama ni kibanda.. What is the sense??
Nawachukia mnaosema UDOM ni chuo cha CCM maana mnaipaisha hiyo CCM yenu balaaa, maana kile chuo ukubwa wake na buildings zilizopo ni UDSM mara 7.

wanasema hivyo kwa nia ya kuponda bila kujua kuwa wengine tunaelewa tofauti na wanavyotaka tuelewe.
Acha waseme sana waongeze umaarufu wa ccm.
 
basi kama ni kulipwa fidia walipwe hata vijan wa UDSM waliopata tabu kipindi kile,kama serikali haina ubaguzi ionyeshe hivyo kwa wote waliowahi kugoma na kupoteza mali zao!mantiki iliyopo sio kukomaa bali ni chuo cha chama-CCM.

upo sawa ila serikali yetu hadi tuilazimishe ndo itufanyie mazuri. Serikali ya wanafunzi ya udom imeona ina haki ya kudai fidia na wanaidai haki yao.
Hao wagomaji wa kipindi hicho hata wazo la kudai sijui kama walikuwa nalo.
Pili vijana wa dom wamefanya maandamano ya halali, hawajaharibu mali za chuo wala mtu ukilinganisha na migomo iliyotangulia.
Huu sio mgomo wao wa kwanza pale ila hujiulizi kwa nini ule wa kwanza hawakulipwa?
Baba akikukosea hawezi kukuomba msamaha. Atakununulia zawadi bila hata kumuomba.
 
ingekuwa UDSM ndo wamegoma wakapgwa mabom,wanaJF weng wangelaani,sasa kwa kuwa yamewatokea vijana wenzao wa UDOM,Badala ya kuwapa pole na kuwasifia kwa kuwa na ujasiri wa kutetea haki zao,wanawaponda as if they deserve it,.nimegundua wanaJF wengi hawako objective kwenye masuala ya UDOM
 


Yeyote anayeponda UDOM ni taahira,

kama una uhakika sio taahira nipinge kwa hoja....

Hivi inawezekana kweli, chuo chenye wanafunzi zaidi ya 20,000

wote wakawa wana-CCM???

Eti kwa sababu wana CCM ambao hata 1000 hawafiki katika chuo kizima,

walifanya mambo kadhaa kwa manufaa ya CCM yao??

Hamuwezi mkawa ma-great thinkers kwa style mliyonayo,

kama mnaona wivu anzisheni mgomo na nyie

then mtalipwa simu na laptop.... Pum*^v@ zenu.
 
Duniani kote ukitaka heshima na kuwepo usawa lazima watawaliwa wapambane kwa vitendo ili watawala walete usawa, mkinyamaza mtawala anafurahi, hasa hapa kwetu mtawala anawadharau pia, so solution ni kupigana, HAKI itakuja yenyewe after fight kwani utawala ni mbovu
 
Back
Top Bottom