Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,219
Hiyo misaada yao ndio inasababisha magonjwa na ugaidi uendelee sambamba na usen*e mwingine. Wakikata misaada tu Africa hakuna vita wala ugaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi kabisa naona EU wameanza kufanyia kazi.Vita ya Ukraine endapo itamalizika salama nchi za Afrika zinatakiwa kupata mateso makali kwa sababu zimeonekana Kumuunga mkono dikteita Putin dhidi ya uvamizi wake kwa nchi ya Ukraine.
Nchi za Afrika zikiongozwa na Senegal, Afrika kusini, Mali, Jamuhuri ya Afrika ya Kati, Nigeria, zinatakiwa kukatiwa misaada yote ya kiuchumi kuanzia elimu, afya, miundombinu, kupambana na Ugaidi, Njaa, ulinzi ili zitie adabu na iwe fundisho kwa watu wote Wanaosapoti madikteita duniani.
IMF & WB zinatakiwa kupunguza mikopo kabisa kwa nchi za Afrika ili zijitegemee au zikakopeshwe na Bank of Russia na China.
Misaada ya Vifaa tiba, madawa, teknolojia na mingineyo ya taasisi mabali mbali (USAIDS, ICAP, MDH , WORLD VISION, TASAF n.k) za kupambana na magonjwa hatari kama ukimwi, cancer, kisukari, pressure, ini, figo, Malaria inatakiwa kupunguzwa ili nchi za Afrika zipate akili.
Nchi zote zilizo piga kura ya hapana kwa Urusi, zinatakiwa kukatiwa misaada yote moja kwa moja ili zikafadhiliwe na Urusi.
Nchi zote ambazo hazikupiga kura zikiongozwa na Tanzania, zinapaswa kupunguziwa misaada kwani kutopiga kura ni kuogopa na ina maanisha wanakubaliana na Putin anachokifanya Ukraine.
Marais wote wa chi za Afrika ambao wameficha fedha zao Ulaya, zinatakiwa kutahifishwa kwa sababu hizo fedha ni kodi za wananchi.
Viongozi wote wa nchi za Afrika hakuna kwenda kutibiwa Ulaya, watibiwe kwenye nchi zao.
Wakimbizi wote kutoka Afrika kwenda Ulaya wawekewe sheria kali za kuwazuia kuvuka kwenda Ulaya kuliko na maisha mazuri, wabaki Afrika, wawe wakimbizi kwenye nchi za bara lao.
Rais Ramaphosa, Rais wa Jamuhuri ya Afrika ya Kati, Rais wa Cameroon, Rais wa Senegal, Rais wa Nigeria hawatakiwi kuendelea kubaki madarakani kwa sababu wanamuunga mkono Putin.
USA & EU zinatakiwa kukata kabisa misaada kwenye nchi za Kiislamu zote duniani, kwani nchi hizo zinamuunga mkono Putin na zinajinasibu kuwa na utajiri wa mafuta, Putin atazipatia misaada.
Baada ya hatua hizi kuchukuliwa nchi zote zinazosapoti udikteita zitakuwa zimepata somo.
Bara la Afrika linatakiwa liendelee kubaki kwenye lindi la umasikini kwa sababu viongozi wa nchi za Afrika ni wanafiki na waliowengi wanapenda udikteita na hawako tayari kuleta mageuzi ya haki kwa ajili ya maendeleo ya bara la Afrika.
View attachment 2270692
Waafrika inaelekea mshazoea kuwa watumwa kiasi kwamba hamtaki hata kuwa na uhuru wa kuchagua.Vita ya Ukraine endapo itamalizika salama nchi za Afrika zinatakiwa kupata mateso makali kwa sababu zimeonekana Kumuunga mkono dikteita Putin dhidi ya uvamizi wake kwa nchi ya Ukraine.
Nchi za Afrika zikiongozwa na Senegal, Afrika kusini, Mali, Jamuhuri ya Afrika ya Kati, Nigeria, zinatakiwa kukatiwa misaada yote ya kiuchumi kuanzia elimu, afya, miundombinu, kupambana na Ugaidi, Njaa, ulinzi ili zitie adabu na iwe fundisho kwa watu wote Wanaosapoti madikteita duniani.
IMF & WB zinatakiwa kupunguza mikopo kabisa kwa nchi za Afrika ili zijitegemee au zikakopeshwe na Bank of Russia na China.
Misaada ya Vifaa tiba, madawa, teknolojia na mingineyo ya taasisi mabali mbali (USAIDS, ICAP, MDH , WORLD VISION, TASAF n.k) za kupambana na magonjwa hatari kama ukimwi, cancer, kisukari, pressure, ini, figo, Malaria inatakiwa kupunguzwa ili nchi za Afrika zipate akili.
Nchi zote zilizo piga kura ya hapana kwa Urusi, zinatakiwa kukatiwa misaada yote moja kwa moja ili zikafadhiliwe na Urusi.
Nchi zote ambazo hazikupiga kura zikiongozwa na Tanzania, zinapaswa kupunguziwa misaada kwani kutopiga kura ni kuogopa na ina maanisha wanakubaliana na Putin anachokifanya Ukraine.
Marais wote wa chi za Afrika ambao wameficha fedha zao Ulaya, zinatakiwa kutahifishwa kwa sababu hizo fedha ni kodi za wananchi.
Viongozi wote wa nchi za Afrika hakuna kwenda kutibiwa Ulaya, watibiwe kwenye nchi zao.
Wakimbizi wote kutoka Afrika kwenda Ulaya wawekewe sheria kali za kuwazuia kuvuka kwenda Ulaya kuliko na maisha mazuri, wabaki Afrika, wawe wakimbizi kwenye nchi za bara lao.
Rais Ramaphosa, Rais wa Jamuhuri ya Afrika ya Kati, Rais wa Cameroon, Rais wa Senegal, Rais wa Nigeria hawatakiwi kuendelea kubaki madarakani kwa sababu wanamuunga mkono Putin.
USA & EU zinatakiwa kukata kabisa misaada kwenye nchi za Kiislamu zote duniani, kwani nchi hizo zinamuunga mkono Putin na zinajinasibu kuwa na utajiri wa mafuta, Putin atazipatia misaada.
Baada ya hatua hizi kuchukuliwa nchi zote zinazosapoti udikteita zitakuwa zimepata somo.
Bara la Afrika linatakiwa liendelee kubaki kwenye lindi la umasikini kwa sababu viongozi wa nchi za Afrika ni wanafiki na waliowengi wanapenda udikteita na hawako tayari kuleta mageuzi ya haki kwa ajili ya maendeleo ya bara la Afrika.
View attachment 2270692
Sawa Bwana NafakaWaafrika inaelekea mshazoea kuwa watumwa kiasi kwamba hamtaki hata kuwa na uhuru wa kuchagua.
Yani uko hapa unashabikia kuwa uadhibiwe kwa kufanya uchaguzi eti inabidi ufuate unachoambiwa kwanini wewe umekuwa mbwa? Free yourself from mental slavery alisema Bob