Baada ya vita ya Ukraine, Nchi za Afrika zinatakiwa kupata Mateso Makali ya Kiuchumi kutoka kwa EU & USA

Hiyo misaada yao ndio inasababisha magonjwa na ugaidi uendelee sambamba na usen*e mwingine. Wakikata misaada tu Africa hakuna vita wala ugaidi.
 
Safi kabisa naona EU wameanza kufanyia kazi.

 
Waafrika inaelekea mshazoea kuwa watumwa kiasi kwamba hamtaki hata kuwa na uhuru wa kuchagua.
Yani uko hapa unashabikia kuwa uadhibiwe kwa kufanya uchaguzi eti inabidi ufuate unachoambiwa kwanini wewe umekuwa mbwa? Free yourself from mental slavery alisema Bob
 
Sawa Bwana Nafaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…