Baada ya Vitambulisho kinachofuata ni 'Health Records'

Baada ya Vitambulisho kinachofuata ni 'Health Records'

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
Hello JF,

Sijui kama hii system ipo tayari.

Ila nadhani wizara ya afya inawajibika kuwa na Patients Records System...

Ambayo si tu kwa Government Hospitals..

Bali kuwe na Connectivity...

Both Government and Private hospitals..

Inapendeza mtu akiumwa akienda mahali kupata msaada...

Then history yake inajulikana in detail...

Kumjua mtu past history yake..inaweza ku aid diagnosis na improved treatment outcomes...
 
Not in Tanzania my sister. Criminal records tu hamna. Mtu fisadi limepelekwa hadi mahakamani na kuhukumiwa lakini baadae unalikuta ofisi ya taasisi kubwa limepewa ukurugenzi. Kwa wenzetu huwezi kukuta huu ujinga.

Inabidi tuiamshe serikali yetu,lol. Mtu atengeneze software then aiuzie serikali...lol.. au awape free...something needs to be done..lol
 
Wadukuzi wakimwaga data hivi ndivyo itakuwa

Name of patient: Rebeca 83
Age:32
Diagnosed with: HIV, diabetes, and lung infections

Na taarifa nyingi nyinginezo

NB: sijaandik kitaalam kwan sio field yangu.
Toba kumbe mambo yatakuwa hivyo!!
Ngoja nami nione mfano wangu!

Name:kenzy
Age: -80
Diagnosed with; kibamia!!
Haya mambo yaishie ulaya huku tutatandazwa!

Ni wazo zuri ila linahitaji nguvu kubwa haswa wingi wa madokta na ulinzi mkali wa taarifa
 
Wadukuzi wakimwaga data hivi ndivyo itakuwa

Name of patient: Rebeca 83
Age:32
Diagnosed with: HIV, diabetes, and lung infections

Na taarifa nyingi nyinginezo

NB: sijaandik kitaalam kwan sio field yangu.

Huko Ulaya kuna mahackers kibao,na hackers wengine wanazaliwa..na bado wana hii system,hili la udukuzi ni kazi ambayo wizara itahakikisha inalisimamia ipasavyo..benefits ni nyingi Zaidi kuliko hofu ya udukuzi… halafu sina ngoma..mkuu 😡😡😡
 
Hello JF,

Sijui kama hii system ipo tayari..

Ila nadhani wizara ya afya inawajibika kuwa na Patients Records System...

Ambayo si tu kwa Government Hospitals..

Bali kuwe na Connectivity...

Both Government and Public hospitals..

Inapendeza mtu akiumwa akienda mahali kupata msaada...

Then history yake inajulikana in detail...

Kumjua mtu past history yake..inaweza ku aid diagnosis na improved treatment outcomes...
Yani kama Nina ukimwi wangu wa tangu mwaka 1980 una uview tu kirahisi rahisi acha mambo zako!
 
Yani kama Nina ukimwi wangu wa tangu mwaka 1980 una uview tu kirahisi rahisi acha mambo zako!

hahahhaaaa….bila kutaka kujulikana hutapata msaada unaostahili mkuu,uko stage gani na zipi ni appropriate treatments kwa stage yako ni vitu ambavyo vinalenga kukusaidia wewe kama mgonjwa na sio vinginevyo...
 
Huu mfumo wa kutumia mtandao unachangamoto nyingi, uoichowaza Ni kitu kizuri, lakini umeenda mbali sana sabsbu changamoto za huu mfumo bado Ni nyingi ikiwemo internet, uhaba wa vifaa kama vile computer na Tablets

Kiufupi huu mfumo wa GoT Bado haujatulia vizuri sababu Kuna baadhi ya hospitali hawautumii huu mfumo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Toba kumbe mambo yatakuwa hivyo!!
Ngoja nami nione mfano wangu!

Name:kenzy
Age: -80
Diagnosed with; kibamia!!
Haya mambo yaishie ulaya huku tutatandazwa!

Ni wazo zuri ila linahitaji nguvu kubwa haswa wingi wa madokta na ulinzi mkali wa taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello JF,

Sijui kama hii system ipo tayari..

Ila nadhani wizara ya afya inawajibika kuwa na Patients Records System...

Ambayo si tu kwa Government Hospitals..

Bali kuwe na Connectivity...

Both Government and Public hospitals..

Inapendeza mtu akiumwa akienda mahali kupata msaada...

Then history yake inajulikana in detail...

Kumjua mtu past history yake..inaweza ku aid diagnosis na improved treatment outcomes...
Wanaweza wakatumia hata kanzidata ya bima,
 
Huu mfumo wa kutumia mtandao unachangamoto nyingi, uoichowaza Ni kitu kizuri, lakini umeenda mbali sana sabsbu changamoto za huu mfumo bado Ni nyingi ikiwemo internet, uhaba wa vifaa kama vile computer na Tablets

Kiufupi huu mfumo wa GoT Bado haujatulia vizuri sababu Kuna baadhi ya hospitali hawautumii huu mfumo.

Sent using Jamii Forums mobile app
GOT -HOMIS ni changamoto sna huku nilipo Kuna kituo Cha afya wanacho unaenda lab unarudisha kwa daktari tena akujaze . Na network haipo kabisa unafika pale u just need to wait Hadi It wafike waset mambo ndo update huduma .
 
Muhimbili na Mloganzila wana hii kitu. Wanatumia system moja. Ukifungua file Muhimbili ndiyo hilohilo utatumia Mloganzila. Na Clinic zoooote ulizohudhuria zinaonekana kwenye system regardless umeenda wapi, management na vitu vingine ulivyohudumiwa vinaonekana.

Changamoto kubwa kwenye hizi hospitali zingine ni man power waliyonayo imezaliwa enzi hamna mambo ya computerized system. Hata wakipelekewa na wakapewa semina za namna ya kutumia they are less eager to comply with it.

Nakumbuka kuna hospitali moja kubwa tuu ya JWTZ walifungiwa computerized system maeneo yote na semina wakapewa lkn baada ya muda watu walirudi kwenye hardcopy files. Kizazi kilichopo kikiisha angalau mambo yatakuwa smoothly.

Unforgetable
 
Hello JF,

Sijui kama hii system ipo tayari.

Ila nadhani wizara ya afya inawajibika kuwa na Patients Records System...

Ambayo si tu kwa Government Hospitals..

Bali kuwe na Connectivity...

Both Government and Public hospitals..

Inapendeza mtu akiumwa akienda mahali kupata msaada...

Then history yake inajulikana in detail...

Kumjua mtu past history yake..inaweza ku aid diagnosis na improved treatment outcomes...
Wao zuri na kwa kuongezea Tu, Watanzania wote wapimwe maradhi ya nafsi, wazimu, wehu, uchizi na records zao ziweze kuwa accessible na yeyote maana nahisi kama idadi kubwa ya Watanzania ni wehu wehu.
 
1) nankwamkuongezea Tu ### na kwa kuongezea tu.

2) nan ## na

We kibibi,shuleni ulienda kusomea....???!!

Hehehehehe!!!!
Wao zuri nankwamkuongezea Tu, Watanzania wote wapimwe maradhi ya nafsi, wazimu, wehu,. uchizi na records zao ziweze kuwa accessible nan yeyote maana nahisi kama idadi kubwa ya Watanzania ni wehu wehu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom