Not in Tanzania my sister. Criminal records tu hamna. Mtu fisadi limepelekwa hadi mahakamani na kuhukumiwa lakini baadae unalikuta ofisi ya taasisi kubwa limepewa ukurugenzi. Kwa wenzetu huwezi kukuta huu ujinga.
Toba kumbe mambo yatakuwa hivyo!!Wadukuzi wakimwaga data hivi ndivyo itakuwa
Name of patient: Rebeca 83
Age:32
Diagnosed with: HIV, diabetes, and lung infections
Na taarifa nyingi nyinginezo
NB: sijaandik kitaalam kwan sio field yangu.
Wadukuzi wakimwaga data hivi ndivyo itakuwa
Name of patient: Rebeca 83
Age:32
Diagnosed with: HIV, diabetes, and lung infections
Na taarifa nyingi nyinginezo
NB: sijaandik kitaalam kwan sio field yangu.
Yani kama Nina ukimwi wangu wa tangu mwaka 1980 una uview tu kirahisi rahisi acha mambo zako!Hello JF,
Sijui kama hii system ipo tayari..
Ila nadhani wizara ya afya inawajibika kuwa na Patients Records System...
Ambayo si tu kwa Government Hospitals..
Bali kuwe na Connectivity...
Both Government and Public hospitals..
Inapendeza mtu akiumwa akienda mahali kupata msaada...
Then history yake inajulikana in detail...
Kumjua mtu past history yake..inaweza ku aid diagnosis na improved treatment outcomes...
Yani kama Nina ukimwi wangu wa tangu mwaka 1980 una uview tu kirahisi rahisi acha mambo zako!
Toba kumbe mambo yatakuwa hivyo!!
Ngoja nami nione mfano wangu!
Name:kenzy
Age: -80
Diagnosed with; kibamia!!
Haya mambo yaishie ulaya huku tutatandazwa!
Ni wazo zuri ila linahitaji nguvu kubwa haswa wingi wa madokta na ulinzi mkali wa taarifa
Wanaweza wakatumia hata kanzidata ya bima,Hello JF,
Sijui kama hii system ipo tayari..
Ila nadhani wizara ya afya inawajibika kuwa na Patients Records System...
Ambayo si tu kwa Government Hospitals..
Bali kuwe na Connectivity...
Both Government and Public hospitals..
Inapendeza mtu akiumwa akienda mahali kupata msaada...
Then history yake inajulikana in detail...
Kumjua mtu past history yake..inaweza ku aid diagnosis na improved treatment outcomes...
GOT -HOMIS ni changamoto sna huku nilipo Kuna kituo Cha afya wanacho unaenda lab unarudisha kwa daktari tena akujaze . Na network haipo kabisa unafika pale u just need to wait Hadi It wafike waset mambo ndo update huduma .Huu mfumo wa kutumia mtandao unachangamoto nyingi, uoichowaza Ni kitu kizuri, lakini umeenda mbali sana sabsbu changamoto za huu mfumo bado Ni nyingi ikiwemo internet, uhaba wa vifaa kama vile computer na Tablets
Kiufupi huu mfumo wa GoT Bado haujatulia vizuri sababu Kuna baadhi ya hospitali hawautumii huu mfumo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wao zuri na kwa kuongezea Tu, Watanzania wote wapimwe maradhi ya nafsi, wazimu, wehu, uchizi na records zao ziweze kuwa accessible na yeyote maana nahisi kama idadi kubwa ya Watanzania ni wehu wehu.Hello JF,
Sijui kama hii system ipo tayari.
Ila nadhani wizara ya afya inawajibika kuwa na Patients Records System...
Ambayo si tu kwa Government Hospitals..
Bali kuwe na Connectivity...
Both Government and Public hospitals..
Inapendeza mtu akiumwa akienda mahali kupata msaada...
Then history yake inajulikana in detail...
Kumjua mtu past history yake..inaweza ku aid diagnosis na improved treatment outcomes...
Wao zuri nankwamkuongezea Tu, Watanzania wote wapimwe maradhi ya nafsi, wazimu, wehu,. uchizi na records zao ziweze kuwa accessible nan yeyote maana nahisi kama idadi kubwa ya Watanzania ni wehu wehu.