Baada ya vurugu kubwa, ofisi na madarasa kuchomwa moto ndipo mabadiliko yakaja!

Muda ulienda na ikawa bahati walimu walikuwa na sherehe yao, wakiwa wamepika pilau na bia za kutosha huku sisi wakiwa wametuachia "shudu"
 
Tatizo la shule za kayumba ndio maana wazazi wanaojielewa wanadomesha watoto shule za private

Anyways hao watoto walikuwa treated kwa upole sababu ni watoto wangekuwa watu wazima FFU wangefanya yao ya uhakika
Kuna watu wangeondoka viuno hawana na miguu imebondeka na kuwa chapati
 
Kwa hio CDM na wao watafute Bunduki kupambana na Polisi waiba kura za uchaguzi?
Kamuulize Godbless Lema kilichomfanya akakimbilia canada ni nini? Walipanga hayo 2015 mbona.Hana hamu kwa kilichomkuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…