Angekuwa na akili angekuja na kitu kingine kipya kabisaView attachment 2593174
Baada ya vurugu na purukushani za EFM na Wasafi Media ambapo zimepelekea kwa watangazaji mbali mbali kuhama katika vituo hivyo vya burudani, msanii Harmonize ameujulisha umma kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ameshakamlilisha Konde Gang FM na TV kwa 100%. Hivyo kuwataka wadau wakae mkao wa kula.
Hujui Ni Mtiifu Kwa CcmHuyu jamaa , ana ahadi kibao...utekelezaji hola
Eti Mchungaji akitaka gari tuna changa. Waumini tukitaka gari tuna ombewa. Nimestuka sasa[emoji3][emoji3]NCHI wameifanya MTI,
Mjenzi anauona MBAO,
Ndege ataona MAKAZI,
Mkulima ataona MAZAO,
Mganga Ataona DAWA na
Mpishi atauona KUN...[emoji87]
Yaani kila mtu anajifanyia analolitaka au?NCHI wameifanya MTI,
Mjenzi anauona MBAO,
Ndege ataona MAKAZI,
Mkulima ataona MAZAO,
Mganga Ataona DAWA na
Mpishi atauona KUN...[emoji87]
Ndio maana rimoti ya tivii ipo msoga...🤣Yaani kila mtu anajifanyia analolitaka au?
Angekuwa na akili angekuja na kitu kingine kipya kabisa