Baada ya vurugu za Wasafi na EFM, Hamonize atangaza ujio wa Konde Gang FM na Konde Gang TV

Baada ya vurugu za Wasafi na EFM, Hamonize atangaza ujio wa Konde Gang FM na Konde Gang TV

Ubunifu bongo ni zero
Ndiyo yale ya kuigana biashara
Kama vile hakuna vitu vingine vya kufanya
Msanii tunakutegemea uwe mbunifu siyo tu kwenye kubuni miziki hata kubuni fursa za kufanya kwa namna za kipekee kabisa
Wasanii wa bongo wengi ni washamba sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app

Wewe umebuni nini mkuu?
 
Yaani huyu champion wangu anajua Sana kuniangusha,anahitaji kupata management nzuri,Hana analojua mmakonde wa watu zaidi ya kuiga tuuu.....kwani si abuni hata Konde Pesa tu afungue microfinance kwani mpaka media Tena🙄🙄🙄🙄
 
Jiba lenyewe baya et konde tv😂
 
Tatizo huyu dogo anakurupuka na kuiga mambo ya wakubwa
Alikuja na label ya konde gang lakini mpaka sasa tunavyoongea msanii kabaki yeye hamornize sasa hizo media ataweza vipi
 
Back
Top Bottom