Baada ya vurugu za Wasafi na EFM, Hamonize atangaza ujio wa Konde Gang FM na Konde Gang TV

Wewe umebuni nini mkuu?
 
Yaani huyu champion wangu anajua Sana kuniangusha,anahitaji kupata management nzuri,Hana analojua mmakonde wa watu zaidi ya kuiga tuuu.....kwani si abuni hata Konde Pesa tu afungue microfinance kwani mpaka media TenaπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Jiba lenyewe baya et konde tvπŸ˜‚
 
Tatizo huyu dogo anakurupuka na kuiga mambo ya wakubwa
Alikuja na label ya konde gang lakini mpaka sasa tunavyoongea msanii kabaki yeye hamornize sasa hizo media ataweza vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…