2018
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 546
- 779
Wakuu
Je ili niweze kufungua kijiduka home nahitaji Nini kupata idhini ya TRA au naweza kufungua tu kiduka bila kwenda TRA?
Naomba mnisaidie Kama Kuna utaratibu natakiwa kuufuata
Sent using Jamii Forums mobile app