Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Ni muda muafaka saasa wa kuunda Chama kipya cha upinzani kufuatia anguko kuu la upinzani baada ya upinzani uliopo kukumbwa na kimbuga Magufuli baadaye Upepo Samia ukaja kuwafagia kwa hiyo kwa mstakabali wa Taifa letu ni muda muafaka sasa wa kuunda Upinzani unaotetea masilahi mapana ya Watanzania na ni upinzani ambao utakuwa mbadala wa CCM
Nashauri upinzani mpya utengeneze mfumo wa kitaasisi badala ya kung'ang'ania sera za kidikteta kama za kilichokuwa Chama kilichokufa cha Chadema cha kung'ang'ana na viongozi wa aina moja sasa ni wakati wa kuwa na Chama kinachoheshomika na kinachofanya siasa za kulinda masilahi ya Nchi na rasilimali Zake
Naoendekeza viongozi wa Chama hiki watoke makundi yote ya nyanja za kijamii na kiuchumi ili kiwe na sera za uchumi wa kisasa Ultra modern economics na pia kiwe na sera zinazozingatia misingi ya Azimio la Arusha na sera za kuiweka nchi iwe ya kidemokrasia na Chama