joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Sasa mziki wenyewe tu bongo fleva sasa walazimishe kushirikishwa Kwan siasa hii
MY TAKE; Mtakumbuka kwamba miaka ya nyuma kidogo wakenya walianzisha kampeni ya kutaka kuhakikisha kwamba muziki wa Kenya unapewa nafasi kubwa katika media za Kenya ili kushindana na muziki wa Nigeria na Tanzania," Play Kenyan music", Sasa hivi wakenya wanalalamika kwasababu wanamziki wa Tanzania hawawashirikishi wakenya katika nyimbo zao, hili limekaaje?, au ndio ule msemo wa kwamba "if you can't fight them, join them".
Tony254
dyfre
Hao wakunya hata tukiwashirikisha watatuharibia mziki wetu, wapambane na genge yao wauze Sudan[emoji38] no hate but only facts....wapambane
MY TAKE; Mtakumbuka kwamba miaka ya nyuma kidogo wakenya walianzisha kampeni ya kutaka kuhakikisha kwamba muziki wa Kenya unapewa nafasi kubwa katika media za Kenya ili kushindana na muziki wa Nigeria na Tanzania," Play Kenyan music", Sasa hivi wakenya wanalalamika kwasababu wanamziki wa Tanzania hawawashirikishi wakenya katika nyimbo zao, hili limekaaje?, au ndio ule msemo wa kwamba "if you can't fight them, join them".
Tony254
dyfre
Sasa mbona mnalalamika kwa kutokushirikishwa matusi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bongo mnaimba matusi tu [emoji41][emoji41]
Tutaimba injili[emoji41][emoji41]Sasa mbona mnalalamika kwa kutokushirikishwa matusi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mpaka sasa bado sijasikia msanii yeyote wa Kenya kuimba amapiano.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wameimba ila zimebuma.
Tutaimba injili
Ushawahi kusikia ngoma ya Reuben Kigame ft Gloria -HuniachiHata nyimbo za gospel / injili bado, mahubiri ya kiimani mbalimbali za kuja toka Mashariki ya Kati, Tanzania bado inaongoza. Sijui ni kamara ya munyazi Mungu amewajalia waTanzania