Baada ya Wakenya kushindwa kupambana na muziki wa Tanzania, sasa wanaomba kushirikishwa katika "Bongo Flavor"

Baada ya Wakenya kushindwa kupambana na muziki wa Tanzania, sasa wanaomba kushirikishwa katika "Bongo Flavor"

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

MY TAKE: Mtakumbuka kwamba miaka ya nyuma kidogo Wakenya walianzisha kampeni ya kutaka kuhakikisha kwamba muziki wa Kenya unapewa nafasi kubwa katika media za Kenya ili kushindana na muziki wa Nigeria na Tanzania," Play Kenyan music", Sasa hivi Wakenya wanalalamika kwasababu wanamziki wa Tanzania hawawashirikishi wakenya katika nyimbo zao, hili limekaaje?, au ndio ule msemo wa kwamba "if you can't fight them, join them".

Tony254
dyfre
 
MY TAKE; Mtakumbuka kwamba miaka ya nyuma kidogo wakenya walianzisha kampeni ya kutaka kuhakikisha kwamba muziki wa Kenya unapewa nafasi kubwa katika media za Kenya ili kushindana na muziki wa Nigeria na Tanzania," Play Kenyan music", Sasa hivi wakenya wanalalamika kwasababu wanamziki wa Tanzania hawawashirikishi wakenya katika nyimbo zao, hili limekaaje?, au ndio ule msemo wa kwamba "if you can't fight them, join them".

Tony254
dyfre
Sasa mziki wenyewe tu bongo fleva sasa walazimishe kushirikishwa Kwan siasa hii
 
Tatizo manyimbo yao mengi wanaimba kilugha, na kutokana na ukabila ulivyo kwao umeingia mpaka kwenye mishipa ya damu hivyo wanaona malugha yao ya kienyeji ni ya maana sana na nyimbo hizo ambazo hazina tofauti na ngoma za kienyeji kushindwa kuteka nyoyo za mashabiki nje ya jamii zao
 
MY TAKE; Mtakumbuka kwamba miaka ya nyuma kidogo wakenya walianzisha kampeni ya kutaka kuhakikisha kwamba muziki wa Kenya unapewa nafasi kubwa katika media za Kenya ili kushindana na muziki wa Nigeria na Tanzania," Play Kenyan music", Sasa hivi wakenya wanalalamika kwasababu wanamziki wa Tanzania hawawashirikishi wakenya katika nyimbo zao, hili limekaaje?, au ndio ule msemo wa kwamba "if you can't fight them, join them".

Tony254
dyfre
Hao wakunya hata tukiwashirikisha watatuharibia mziki wetu, wapambane na genge yao wauze Sudan[emoji38] no hate but only facts....wapambane
 
Hakuna msanii huko zaidi ya wale wakilugha
 
Tutaimba injili
emoji41.png

Hata nyimbo za gospel / injili bado, mahubiri ya kiimani mbalimbali za kuja toka Mashariki ya Kati, Tanzania bado inaongoza. Sijui ni karama ya munyazi Mungu amewajalia waTanzania
 
Hata nyimbo za gospel / injili bado, mahubiri ya kiimani mbalimbali za kuja toka Mashariki ya Kati, Tanzania bado inaongoza. Sijui ni kamara ya munyazi Mungu amewajalia waTanzania
Ushawahi kusikia ngoma ya Reuben Kigame ft Gloria -Huniachi
Au Sara K
 
wakenya ni wazuri kwenye kula mirungi,kunywa changaa na kuhamisha mlima Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom