Baada ya Wasafi TV kufanya vizuri kila kona ya sasa WCB wanakuja na Wasafi FM

Wasafi tv ndio inayoongozwa kwa kutazamwa na haijaanza vipindi rasmi
Kuwa na kundi kubwa linaloangalia inawezekana kabisa ila haimanishi kuwa ndio Tv station kwa ajili ya corporate sponsors.Uwazi ni moja ya magazeti yanayouzika sana lakini sikuwa ona kampuni serious ikipeleka tangazo kwenye hili gazeti.
 
Acha kufananisha kifo na usingizi wewe
 
Kwani hujui kuwa wasafi tv/radio ni kwa ajili ya wale wenzangu kama mimi ambao hatuko serious na world affairs zaidi ya team diamond na team kiba na wengine walioko kwenye kundi kama hilo mfano Wema.
Life is about entertainment broo, relax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…