Kuwa na kundi kubwa linaloangalia inawezekana kabisa ila haimanishi kuwa ndio Tv station kwa ajili ya corporate sponsors.Uwazi ni moja ya magazeti yanayouzika sana lakini sikuwa ona kampuni serious ikipeleka tangazo kwenye hili gazeti.Wasafi tv ndio inayoongozwa kwa kutazamwa na haijaanza vipindi rasmi