Baada ya Watanzania kukamatwa na dawa za kulevya, hiki ndio kimemkuta Madee akiingia Afrika Kusini

Baada ya Watanzania kukamatwa na dawa za kulevya, hiki ndio kimemkuta Madee akiingia Afrika Kusini

rais awajakusachi mpaka kwenye kabang??????!!!!!!
 
ha ha ha, nyabhingi you have made my deyoooo,
huyu jamaa tokea alipoenda studio na kuharisha kwa mdomo eti"hiphop ni uhuni"sitaki kusikia habari zake,wakina ruge walimuingiza kingi kurekodi ----- huo kwa ujira mdogo,..halafu kuna track nyingine anajifanya kuimba american english eti ladies and genlomen..aaaaaghhh
 
Last edited by a moderator:
Wavuliwe tuu hata nguo za ndani

"Nchi ngumu hii"
 
Kwa jinsi anavyoonekana hata ningekuwa mimi ni askari wa Afrika Kusini ningemkagua na kujiridhisha kuwa hana madawa. Hawa vijana lazima wajue kuwa muonekano wa mtu nao unaweza kumponza.
 
Back
Top Bottom